Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kumanisha siku hizi mnalala hadi kwa choo?[emoji1787][emoji23][emoji23]
Kumbe unajua kuwa ni choo? sasa hapo inaonekana ni kwenu. Hayo makazi yanaonekana kabisa ni ya Nairobi, huwezi kuishi kwenye nyumba hazina upenyo DSM na ukawa hai
 

hiyo BRT bus unaona ina hanger za kushikia,zimetengenezwa mahususi kwa kazi hiyo,na iko na coridor pana kwa ajiri ya kusimamisha watu.

huo ndio usafiri wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…