Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa kasemaje???

Nairobi commuter Railway Vs BRT DarπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

View attachment 1638331View attachment 1638333

Inaniuma na kunisikitisha sana kwa kweli, kwa nini Tanzania tunashindwa kuwa na ustaarabu wa kupanga foleni? Hapo ni rule of the jungle, mgonjwa, mzee, mtoto, mama mja mzito anawezaje kupanda kwenye hilo basi?

Hii Picha ilifaa ianzishiwe Mada yake labda Wahusika wataona na kuchukua hatua.

Nasema asante sana kwa kuweka picha hii ya kuhuzunisha na kusikitisha karne ya 21 tunasafiri hivi na hapo ni Dar vipi huko kwingine?
 
Slowly mnaanza kukubali
 
So hiyo link ya comparison ya Kenya and Tanzania kwa slums ni mimi ndio nimeleta ama wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Acha kujitoa ufahamu, soma vizuri message yangu, naiquote tena hapa. nimekuelewesha jinsi data zako ndani ya post moja zinavopingana.
Hao world bank wenyewe watuwekee picha za slum tz sio kutuletea takwimu za mtu aliekalisha kalio
 
Sasa leo hamtaki World Bank?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona hamkupinga vile waliwatoa kule LDC?[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Acha kujitoa ufahamu, soma vizuri message yangu, naiquote tena hapa. nimekuelewesha jinsi data zako ndani ya post moja zinavopingana.

Hao world bank wenyewe watuwekee picha za slum tz sio kutuletea takwimu za mtu aliekalisha kalio
Alaf hapo hapo google haijui kama dar kuna slums πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ama kweli mkenya ni maskini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…