Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutakopa mpaka 150% wakat wamenusa red line sasa hvi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wanamuomba yesu arudi asaidie kenya

 
Mkenya wa kwnz kuikataa denial style of living ila Kuna mtu kaumia kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Mkenya wa kwnz kuikataa denial style of living ila Kuna mtu kaumia kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205]
Kuna post tuliwawekea ya miji 20 mikubwa Afrika Mashariki.. Tanzania imetawala hiyo list.. walitupiga Madongo humu na kutuona kama wehu..

We nchi hii kuna ukanda hauna urban centres kubwa!? Kila mkoa kuna manispaa, au Mji Kila wilaya at least ina Township (Miji midogo zaidi ya Mmoja) trading centers kibao.. utalinganisha na nani hapa EA
 
Wakenya bwana hata wachina wanaojenga sgr wameorodheswa kama watalii ili mradi wamepitia jkia

Wanadhani tunafanya Mass tourism kama wao.

Nusu ya watalii wanafika Tanzania lakini ni high end wanaleta mtonyo mara mbili ya Kenya.

Tanzania is doing Low Density, High Quality, High Priced tourist products because they are top notch.

See the world bank document.

 
[emoji28]Aiseee!!! mchina katishaaaa, "plus 90kms of sidings" at 1.5b$, naona anataka kumpokonya tonge mdomoni mturuky[emoji1787], ila wachina wako vizuri sana kwenye speed but wasije kutuchapia kama majirani na kutujengea 1st class feki
tutawakata pesa ambazo hawajawahi kutegemea dunuani....
 
hiv ya Dar-Moro au Moro-Makutupora ilikuwa ni ngap each? i remember it ranged btn 1.3-1.5$ billions each lot.. then why hii ije 2.7$ billions??
wakipewa Yapi means kuna ya compensation for lot 1&2!!
Dar-Moro $1.2 bln to be precisely!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…