Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah, jamaa ni washamba kinoma
Yani wameona automated ticketing ni ya kisasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakat sisi tuko kwenye online recharging cards
 
Yani wameona automated ticketing ni ya kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakat sisi tuko kwenye online recharging cards
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mtu anauliza kabisa eti mna automated tickets, kweli ushamba mzigo
 
Umesha-change topic tayari

Leo nimegundua jinsi BRT inavyowatesa wakenya na serikali yao
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… acha kabisa hio kitu inawaumiza kindakindaki kwasababu wao wamefeli pamoja na kupoteza taxpayers money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…