Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona hii barabara inakuuma sana. Mbona usiandikie wachina barua wapeleke hii barabara Tanzania ?[emoji23][emoji23]
Iniume kwa kitu ambacho naona mchina kuna sehemu kamaliza kazi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Narudia na tena ntaendelea kurudia, hatujawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. Na pia hatajawaisamehewa deni venye Tanzania walisamehewa
Ww ndio ulisema kenya hua haiombi msamaha wa madeni au sio ww najua umejifanya hujaiona [emoji2][emoji2][emoji2]

 
Yani nacheka sana kuona vile mchina akiwajibika inavipaswa manake kwenye SGR kamaliza biashara sasa kahamia na huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mchina nimekunyooshea mikono[emoji120][emoji120][emoji120]
Ni lini Tanzania itakuwa na elevated expressway. Alafu ebu nikuulize, is this the first time umeskia project ya PPP dunia nzima? Kama ni mara yako ya kwanza basi kuwa ready kuona ya pili wakati hile PPP ya 190km road itaanza kujengwa[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu pia kuna PPP ingine.
 
Labda tujenge kwa pesa yetu na sio ijengwe na mtu alaf aanze kutukamua ushuru hilo halipo hua hatuingii kwenye biashara hazina tija na faida kwa wananchi

hvi kwa kutumia akili 600ksh per car then how many of them will afford ushawah jifkiria hilo

hata mchina alitaka kujenga chalinze expressway kwa ppp lakini magufuli alikataa hata bagamoyo port ilikua ni ppp magufuli alachomoa tena sijui unashangaa nn wwπŸ˜€πŸ˜€
 
Yani East Africa ni kama bedroom ya Kenya, we take anything we want. Good job KCB, teka yote[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Mpeni mchina tu hana shida kwenye ppp manake hzo ndio biashara zake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa sasa pesa za mradi wowote hamuna na hamutakua nayo mpaka yesu ashuke
 
Naona ujinga yako inakudanganya charges itakuwa 600bob. Hii ndio maana nasema unaumwa na hiyo project, charges za expressway itaanzia 150 bob up to 300 depending on the weight of your vehicle.
 
Mpeni mchina tu hana shida kwenye ppp manake hzo ndio biashara zake [emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa sasa pesa za mradi wowote hamuna na hamutakua nayo mpaka yesu ashuke
Piga kelele hapo wakati projects zinazoendelea Kenya kwa sasa ni three ten times zile za Tanzania.
 
Yani East Africa ni kama bedroom ya Kenya, we take anything we want. Good job KCB, teka yote[emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na bahat nzuri zaidi sio bank ya tanzania wame invest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…