Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just confirmed hawa wanaenda kufuata mabehewa, Nimeukiza wamesema ya Korea tofauti na haya wanayoyafuata ni mengine.
Kuna wakati nilitaka kucomment hapa kwamba kuna uwezekano tumeagiza behewa kutoka kampuni tofauti.
 
Treni za umeme zioi hzo[emoji23][emoji23]
Mtanzania gani ambae huyo ashawai panda treni ya umeme hko bongo..

Yani sgr bado mtaiskia tu mpka ile siku mtalipa hela za wenyewe
tulia basi mbona una mapepe siku hio nitakutafuta bro πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

hata mwanzo ulisema hvo hvo leo ina over 90%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kama kwa ppp sawa ila serekali itoe 600m usd inatoa wapi kwa mfani ikiwa pesa ya kulipa salaries hakuna just imagine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama kwa hiii ppp kua mchina ataichukua kwa miaka 30 huku mukikamuliwa hapo sawa uzuri wa mchina habahatishi


 
Jibu swali kijana, venye ulikuwa unasema haitawaijengwa kwani hukujua ni PPP?[emoji23][emoji23]
 
Sisi nye nye nye huku ushuzi na uharo ukiwatokaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Jibu swali kijana, venye ulikuwa unasema haitawaijengwa kwani hukujua ni PPP?[emoji23][emoji23]
Sikujua ni ppp nilijua kenya ndio inajenga kwa pesa zake ndio maana nikasema za kulipa madaktari mishahara hamuna hio pesa munatoa wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kumbe mchina miaka 30 ni yake alaf akiwakamua 600ksh per car hapo sawa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Naona hii barabara inakuuma sana. Mbona usiandikie wachina barua wapeleke hii barabara Tanzania ?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…