The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kamji kenyewe hata ukitembea kwa mguu unakamaliza ndani ya masaa kadhaa afu wanataka kushindana na The Giant Dar[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ona hizi mbuzi zinalazimisha kiambu iwe Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1629048
Yaani Nairobi bila usaidizi wa kenya nzima, inapigwa na Dar saa 11 alfajiri [emoji28][emoji28][emoji28]
This road project comprises an Overpass (11km) and the rest is on the ground (15km)kumbe ni overpass
[emoji736]
Huyo huyo mlupo unayembishia hajatoka nje ya mombasa ndio anakuumbua siku zote[emoji23][emoji23]Hahahaha yaani wewe mediocre wa mombasani, saivi nimekupandisha daraja sio shenanigan tena, ni mediocre wa mombasani
Wewe unabisha wakati hujawahi kutoka nje ya Lamu, unajua nini sasa we mlupo wa Lamu? [emoji28][emoji28]
Kwhyo hutaki metro wewe[emoji23][emoji23]Ona hizi mbuzi zinalazimisha kiambu iwe Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1629048
Yaani Nairobi bila usaidizi wa kenya nzima, inapigwa na Dar saa 11 alfajiri [emoji28][emoji28][emoji28]
safi ,,,kuna speed flan ya ujenzi naiona...Overpass progress [emoji7][emoji7]
South C construction boom[emoji91] at the background
View attachment 1629003
huwa hawaelewekikumbe ni overpass
[emoji736]
jamaa hana akili kabisa huyo hata hajui geographia ya miji yao......au anakitoa akili kizembeOna hizi mbuzi zinalazimisha kiambu iwe Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1629048
Yaani Nairobi bila usaidizi wa kenya nzima, inapigwa na Dar saa 11 alfajiri [emoji28][emoji28][emoji28]
Nairobi ni kauchochoro kadogo sana, bila usaidizi wa counties za pembezoni Mwanza pekee inatosha kuiadhibu Nairobi bila majibujamaa hana akili kabisa huyo hata hajui geographia ya miji yao......au anakitoa akili kizembe
Hahahaha si ndio hapo sasa,Kamji kenyewe hata ukitembea kwa mguu unakamaliza ndani ya masaa kadhaa afu wanataka kushindana na The Giant Dar[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kajipangeni upya kivingine, usilete umediocre wenu hapa ukifikiri utachekewa, hapa tunaotoa chuya unabaki mchele mweupe pee! ๐ ๐ ๐Kwhyo hutaki metro wewe[emoji23][emoji23]
Nipo vizuri nimejipanga kuwaweka sawa, usifikiri kama una ubavu wa kuniletea utopolo wako ukaondoka unquestionable, nina piga spana zangu heavy weights mpaka wenzio wananiblock, sitaki ujinga mimi ๐คHuyo huyo mlupo unayembishia hajatoka nje ya mombasa ndio anakuumbua siku zote[emoji23][emoji23]
Njoo na uongo mwngine nikuumbue
Hahaha si ndo maana nasema 2022!Lamu port berth mbili zilizobaki zipo 80% complete. Moja ishakamilika. Hizo mbili zitakamilika mwaka ujao. Lakini hatujui crane zitachukua muda upi kufika Kenya. Sina uhakika kama order ya cranes imeshatokewa.
hawatoweza......huku wameingia chakaNairobi ni kauchochoro kadogo sana, bila usaidizi wa counties za pembezoni Mwanza pekee inatosha kuiadhibu Nairobi bila majibu
Sasa sijui wanafikiri hapa ni nairaland kule walipozoea kuwabeba wa nigeria kwenye tenga, wanafikiri na wa Tanzania tupo hivyo, [emoji28]
Labda spana za matusi[emoji23][emoji23]Nipo vizuri nimejipanga kuwaweka sawa, usifikiri kama una ubavu wa kuniletea utopolo wako ukaondoka unquestionable, nina piga spana zangu heavy weights mpaka wenzio wananiblock, sitaki ujinga mimi [emoji848]
Kwhyo hutaki cities ziwe na metros[emoji23][emoji23]Nairobi ni kauchochoro kadogo sana, bila usaidizi wa counties za pembezoni Mwanza pekee inatosha kuiadhibu Nairobi bila majibu
Sasa sijui wanafikiri hapa ni nairaland kule walipozoea kuwabeba wa nigeria kwenye tenga, wanafikiri na wa Tanzania tupo hivyo, [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kajipangeni upya kivingine, usilete umediocre wenu hapa ukifikiri utachekewa, hapa tunaotoa chuya unabaki mchele mweupe pee! [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwhyo hutaki cities ziwe na metros[emoji23][emoji23]
Si hata dar ni mkoa una vijiji ndani au nadanganya[emoji23][emoji23]Thika is another county au nadanganya[emoji23][emoji23]
Tony, you are too smart than this bhana. Yani meli ishushe na kuondoka bila kuchukua mzigo mpya? Na doubt kama ulishaingia hata bandarini na kuona tu vile wana operate. Meli za magari tu ndio zina shusha na kuondoka bila kusubiria mzigo wa kuondokea. Na ndio maana ni ghali sana kusafirisha magari kuliko kontena.Wewe huelewi. Post-panamax ni meli kubwa na inaweza kubeba kutoka China mizigo inayokwenda Afrika na Europa kwa safari moja. Kisha inatia nanga Lamu na kupakua mizigo ya (Dar port, Mombasa port na Djibouti port) kisha inaelekea bara la Europa. Halingojei meli ndogo ifike Dar na kurudi na mizigo kama ulivyosema. Hakuna mahali nimesema kuwa meli ndogo itapekeka mizigo Dar kisha irudi na mizigo Lamu. Post-panamax haina muda wa kungoja meli ndogo iende Dar na kurudi na mizigo. Post-panamax haichelewi hapo Lamu port, inamwaga mizigo na kuondoka.
๐๐๐๐ siku hzi thika country iko under nairobi metro๐๐๐๐๐ Mungu weeeIt is under Nairobi metro