Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha Moshi coaster ni 2000 kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli tanzania nchi maskini sana[emoji23][emoji23]
Ksh 40 unajivunia kulipa fare ya umbali huo..
Hata usije kenya, nenda south africa alafu ulete marejesho..
 
Mradi wenyewe umeanzishwa kwa dili,Sasa unategemea hiyo pesa walizopiga nan atazifidia mkuu Kama sio makabwela wa kibera?
Ndio manake tunawaambia mkenya wa kawaida anakula bata vizuri sana tanzania lkn mtanzania akija anaona nkm yupo jehenamu..

Kuna wenzenu wameshindwa kulipa fine ya elfu tano ya barakoa[emoji23][emoji23]
Eti kisha wamesema wamekuja kununua nyanya..
Ksh 5000 hku si masela wanakutoa tu na nyumbani hamna wakujua
 
Kwann munalalamika sasa😂😂👇👇👇










 
Marekani vitu kama hivyo ni way cheaper yaani hata internet mnayopigwa hapo na safaricom, Marekani ni bure, nao ni masikini kweli!
 
Marekani vitu kama hivyo ni way cheaper yaani hata internet mnayopigwa hapo na safaricom, Marekani ni bure, nao ni masikini kweli!
Nani kakwambia marekani internet ni bure, we jamaa bana..
Sema wamerahisishiwaa huduma kule wala hakuna mambo ya sijui vocha mara eti sijui kujiunga bando..

Bt mwisho wa siku you have to pay your bills..
Jaribu hata kutafuta visa utoke bongo uende kw trump uone vile mambo yanaenda jamani..
Ukurupukaji unazidi kukudumaza akili
 
Enyewe hii bus stand iko juu. Enyewe ukweli usemwe tu. Lakini Watanzania bado mko nyuma yetu na kutupita itakuwa kazi. Bado mtasoma number sana. Lakini hongera kwa hii station. Imetisha sana. Station poa sana
Wakenya mnavyosema neno 'enyewe' in which most of the time you use it is absolute grammatically irrelevant mnasound like lunatics

Unasemaje enyewe sehemu ambapo halihitajiki na halimake sense? Sounds like a certain dunderhead kid trying to construct sentences though in a dumbest manner, horrible 😢😥🙁🤔
 
Free Wi-Fi without codes is like a norm in States
 
Na nyie mnaposema aisee huaga linafaa kitumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…