Nimekuambia GNI per capital ndio factor iliyo tumika kuitoa Tz toka least developing country to lower middle income(1080) wakat nyie mko na (1750)..according to WB ....ww unatuambia ndio sababu ya kuwa grouped as least developed embu leta ushaidu wa madai yako?Swali gani? sijaliona.
Sasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.Nimekuambia GNI per capital ndio factor iliyo tumika kuitoa Tz toka least developing country to lower middle income(1080) wakat nyie mko na (1750)..according to WB ....ww unatuambia ndio sababu ya kuwa grouped as least developed embu leta ushaidu wa madai yako?
Unawazimu wa kichwa ww wakat kwa sasa tuko kwenye jahazi moja la middle income tulieni murambe dawa sasa😂😂😂Rika yenu Uganda
Jibu swali uliloulizwa kwanza😂😂👇Sasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkizubaa mnarudi nyuma
Nimekuambia GNI per capital ndio factor iliyo tumika kuitoa Tz toka least developing country to lower middle income(1080) wakat nyie mko na (1750)..according to WB ....ww unatuambia ndio sababu ya kuwa grouped as least developed embu leta ushaidu wa madai yako?
Na usipolipa kodi landlord anangoa madirisha au mabati.NEW
daaah.....aisee nairobi ni mji wa ajabu sana yaani chumba kimoja mnaweza kupangishwa watu hata wanne mashuka ndiyo partition inayogawa
Sisi tumekaa ndani ya jahazi ya Middle income. Nyie kiwiliwili chenu bado ki majini. Mkono wenu mmoja tu ndio umeshikilia jahazi la middle income. Pakitokea mawimbi kidogo baharini basi mnazama na kurudi LDC mnapostahili kuwaUnawazimu wa kichwa ww wakat kwa sasa tuko kwenye jahazi moja la middle income tulieni murambe dawa sasa😂😂😂
nimiyeyusho sana yaani nimeshangaaa [emoji1787][emoji1787] yaani chumba kimoja tena cha ovyo mnapangishwa watu wa nne mashuka au pazia ndiyo partitionNa usipolipa kodi landlord anangoa madirisha au mabati.
Kufanya uzinduzi sio tatizo. Tatizo ni kwamba hamna pesa za kuendeleza mradiSasa kumbe mradi ulishakuwa launched, ukosefu wa funds (pesa za ndani) unatoka wapi?
Hivi unajisikia kwanza kabla ya kuongea?
Wakati una leta izo wishes zako better know few things, the only person we can control is our self and the only thing you can give to another person is infomation so let me give you someSasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.
Anza na planning ya dar tuone kwanza 😂 😂🙂
Dar Inawapa shida sana.. ngoja nicompile Data za overall development ya nchini ... Town to town, city to city nifanye Comparison na Kimyaland
😀 uone mtakavyotoka nduki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha kuleta emotions + patriotic remain with fact, mko since 2014 na kiasi mlicho ongeza ni 670 for the past 7 years[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.
Huu ni ukweli 100%
Na wewe tony acha kujidanganya. Sasa chukua hiyo $1750 against consumer prices vs TZ$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Kwaiyo kumbe sio kuwa tupo least developed country but tunaweza dondokea huko? Ndio mana nakwambia huwa mda mwingine unavuta githeri badala ya kunywaSasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.
Naona unamis point hapo, swali la kujiuliza , kwanin mko middle income for the past 7 years but your neighbours never acknowledge that? Uchumi wenu ni fake ndio mana tukawa tunawaona mbna tupo sehem moja tu.Sisi tumekaa ndani ya jahazi ya Middle income. Nyie kiwiliwili chenu bado ki majini. Mkono wenu mmoja tu ndio umeshikilia jahazi la middle income. Pakitokea mawimbi kidogo baharini basi mnazama na kurudi LDC mnapostahili kuwa
Sisi Tumeanza kufanya mambo makubwa kabla ya kuingia uchumi wa kati.Naona unamis point hapo, swali la kujiuliza , kwanin mko middle income for the past 7 years but your neighbours never acknowledge that? Uchumi wenu ni fake ndio mana tukawa tunawaona mbna tupo sehem moja tu.
Alafu angalia sisi tumeingia ila izo mambo tunafanya mpaka mnatetemeka[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A Chinese idea yet your government did the launching and even made compensations to landowners!!?? Only to shy away from it??You need to know this project was never a government idea that we were looking for a loan from China but was a Chinese idea brought to us to negotiate.
Kumbuka tulingia 2017 ila tukawa underwatch for three years...wao wakaj kutangaz nowSisi Tumeanza kufanya mambo makubwa kabla ya kuingia uchumi wa kati.