Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

👇👇👇

 
Ngoja tuone kama KQ hamtaondoka na abiria 3 kama awali maana mnapenda kuvaa kiatu kisicho watosha .
 
Gni yenu haijafika 2000 ni km yetu tu, ss kinachokutia wazimu ni kitu gn? Grow up bhn hz poor reasoning achia wakenya.
$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
 
$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Lakini pia tanzania imeshika kasi within 4yrs so usishangae sana kwa hilo na lisikuumize kichwa
 
$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Ss hiyo dollar 670 unanunua nn cha maana? Unajenga nyumba? Unanunua kiwanja? Unanunua gari? Hyo ni pesa ya maandazi tu.

BTW nimefurahi kuona kuwa umegundua kuwa wote tupo kwenye 1000s na hapo uchumi wa tz ndiyo wa kweli nyie wenu ni wa karatasi kiasi kwmb GoK haiwezi mudu kutosheleza wakenya food stuffs, what a shame.
 
Kwa hivyo huko kwenu ambapo serikali yenu inawapa shamba bure bilashi huwezi kununua shamba kwa $670? Huko kwenu unapata shamba hata kwa $500.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…