Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Me hapa wakenya ndo mnaponiacha hoi??

Mnapika sana data ili muonekane wakubwa

Kenya population ni 47.5 by 2019

Internet users ni 46.87.

Watu 1millioni pekee ndio hawatumii internet
Haya statistics zinaonesha kenya kila mwaka wanazaliwa watoto 1.5million
Hawa tomatic hawawezi kutumia internet kwa data izo watoto chini ya miaka 5 watakua sio chini ya milion 6.

Hwa pia asilimia kubwa sio watumiaji wa interet lakini kenya wanaonesha wao 1m pekee ndio hawatumii internet vip hapa hata nyie wakenya wenyewe hamuoni mnadanganywa????
 
Hehe,so wataka kumaanisha mlipata nyingi kutiliko??
Hivi nilivyo post ile post ya tweet, kuna sehemu yoyote nilimention failed state ama ni genye za kunyeesha ndio zinakusumbua?

Mbona mnapenda kujishtukia hivi?
Mbona mnaiogopa Tanzania hivi?
 
Hayo mafala ya kujifariji achana nayo.
 
Hivi nilivyo post ile post ya tweet, kuna sehemu yoyote nilimention failed state ama ni genye za kunyeesha ndio zinakusumbua?

Mbona mnapenda kujishtukia hivi?
Mbona mnaiogopa Tanzania hivi?
Ata mlipata only 6 awards while Kenya ilipata a whopping 17 awards,, congrats my lovely country and *** u neighbors,,,swezi ogopa Tz, Kenya hougopa akina SA, Egypt na Morocco, Algeria na Nigeria kidogo,,others wanaogopa kenya
 
Emb angalia hii

Nigeria population 206m INternet users 126 reasonable 60%

EGPTY Poplatn 102m I.U 49m
Reasonable 48%

KENYA Poplation 50m I.U 46m
NO way
unreasonable. 98%

South Africa population 60m I.U 36m reasonable 60%

Algeria populatio 43m I.u 25m
Reasonable 52%

Morocco population 36m I.U 23m reasonable 66%

Tanzania population 59m I.U 23m reasonable 39%.

Nanchi nyingine pia ni ivo ivo kasoro kenya tu.
 
Kazi yao ni kupika data yaani hawapendi kuishi kwenye uhalisia.
 
Ata mlipata only 6 awards while Kenya ilipata a whopping 17 awards,, congrats my lovely country and **** u neighbors,,,swezi ogopa Tz, Kenya hougopa akina SA, Egypt na Morocco, Algeria na Nigeria kidogo,,others wanaogopa kenya
Huwezi ogopa Tz na umeumia Tanzania kushinda kwenye category ya Africa's Leading Cruise Port!

Ungekuwa huogopi wala usinge hangaika kushoboka kureply ila kwa sababu unaiogopa Tanzania ilikubidi ufanye hivo.
 
System ya Tanzania mbona inafanya vizuri kuliko Kenya kwa gharama ndogo sana, kazi kuu ya serikali yoyote ile, iwe ni serikali kuu au serikali ya majimbo ni kutoa huduma za jamii na kutoa ulinzi kwa jamii

Katika kutoa huduma za kijamii nchi nzima kama vile, barabara, maji, umeme, afya, ulinzi, mifumo ya umwagiliaji maji mashambani, shule, masoko, yote haya ukilinganisha Kenya na Tanzania, utagundua kwamba Tanzania imefanikiwa sana kupeleka huduma za kijamii vijijini kuliko Kenya.

Wakati huo huo Tanzania imefanikiwa kuepuka athari za huo mfumo wa ugatuzi kama vile:
1)Gharama kubwa za kuendesha serikali za majimbo
2)Kusambaa kwa rushwa mashinani
3)Ukabila
4)Kupungua kwa mshikamano wa kitaifa
 
That is almost the entire population
 
Mombasa road construction is at boom 🔥
Mariakani highway (42km) 6 to 10 lanes
Includes...
* 3 level interchange
*Overpass
*Underpass


Dongo kundu bypass 25km(4 to 6 lanes)
Includes..
*3 super sea Bridges one is over 1km
*3 interchanges
*A viaduct
 
Look at the bigger picture not being narrow minded
Devolved system of government has negatives and positives but the positives outweigh the negative on the beam balance
Kenya should move forward to a true federal republic
 
Huwezi ogopa Tz na umeumia Tanzania kushinda kwenye category ya Africa's Leading Cruise Port!

Ungekuwa huogopi wala usinge hangaika kushoboka kureply ila kwa sababu unaiogopa Tanzania ilikubidi ufanye hivo.
Sasa ata hio port ya cruise hamna wakati Kenya inayo,hio award next time itakuwa ya Mombasa port
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…