Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeambiwa uoneshe viberiti km hivi huko Nairobi wacha pang'ang'a [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1623963
Video clips ziko humu., did u watch ama wewe ni fukara na pia kwa data?., nilishafanya utafiti mwafaka sikurupuki kama nyie with blind patriotism na inferiority complexπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Mombasa is riding on the same lane na Dar., mengine ni kelele za chura na hasira tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ukweli umeanikwa wazi dunia itazame
 
Ukimaliza kulia tunaomba viberiti km hivi tafadhali [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maeneo duni ni mengi zaidi Nairobi ukisema uyataje huwezi kuyamaliza,Na ndiko wanaishi walalahoi cheap labors ...Hayo ni maeneo ya wakaazi wachache tu
 
Maeneo duni ni mengi zaidi Nairobi ukisema uyataje huwezi kuyamaliza,Na ndiko wanaishi walalahoi cheap labors ...Hayo ni maeneo ya wakaazi wachache tu
Watatuambia nn hawa wapuuzi, nairobi ndiyo jiji chafu zaidi hapa Afrika na ndiyo lenye slums za kutisha zaidi duniani hapa watatuambia nn hawa viroboto [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maeneo duni ni mengi zaidi Nairobi ukisema uyataje huwezi kuyamaliza,Na ndiko wanaishi walalahoi cheap labors ...Hayo ni maeneo ya wakaazi wachache tu
Dar it is 85%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰tuusan vipi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Watatuambia nn hawa wapuuzi, nairobi ndiyo jiji chafu zaidi hapa Afrika na ndiyo lenye slums za kutisha zaidi duniani hapa watatuambia nn hawa viroboto [emoji3][emoji3][emoji3]
Umekerwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vumilia tu kaka, hio ni effects za facts, give it time utapoa tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., bro umeteseka kimawazo sasa ni kumwaga povu., anza kuanika slums za kenya angalau upate nafuu kimawazoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatu bila!
 
Mombasa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa hakuamini ilibidi atafute a section ili apate pa kutorokea[emoji23][emoji23]
Acha maneno mengi tena bora hata hayo maneno mengi yangekuwa ya maana ni maneno ya tundu la choo halafu mwenyewe unaona unaandika vitu vya maana ila sikushangai kwa sababu ni ngumu mnoo mkumbaf kuona ukumbaf wake,

Jibu hiyo picha kwa vitendo acha maneno mengi,

Ati na wewe una IQ kubwa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Navenye wa Tz hapa waliwika na kuchocha wenzao kipigia inchi yao kura,haha,,kimeeleweka Sasa Kenya to the top,we are giants of Africa
 
Bado unatapatapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kiswahili kingi lakini wapi! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ endelea kunifunza misamiati but for argument hauna lako kamwe., andika tu insha, mimi nita kupa marksπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hauna lolote!.,
Uehehehhe kwamba south C but wee see everything hereπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…