Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo serikali ya kenya imeleta ile train ya mtumba a.k.a chuma chakavu ili kupambana na brt ya TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜©πŸ˜πŸ˜€???
Hii mungiki ni joke kwa kweli
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf hata hawaoni aibu wanaona wamefanya kitu kikubwa wenyewe
 
So ile habari ya wb tanzania kuingia middle income ni uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So hapa sio mombasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti munashindana na mwanza wallah mpaka huruma
 
Aliekwambia ni section ndogo nani wakat uchumi wa mombasa uko pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hampendagi ukweli? Geza huwa na facts licha ya kua propagandist kwa kiwango., haimanishi WB wakizuiya pesa mambo hayatafanyikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tz ni "kwa pesa za ndani" haujui hilo?
Sasa unashangaa nn kwan wb bank hawakuzuia pesa ya SGR wakasema hawawezi kutoa au leo mumesahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mamumivu yamemzidi sasa kaleta la ushuzi fulani kanaitwa eldoret nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila kitu kimeanikwa wazi maneno yako hayana nguvu ya kufuta obvious evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kiswahili kitukuzwe kweli, hapa ndajifunza mengi, endelea kulia lia tu, jibu hauna ni hekaya za abunuasi umebaki nazoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaaa kahangaika wee kutafuta concrete jungle ya namna hii nairobi nzima alaf kajaribu na kutafuta mombasa kama atapata kumbe kadondokea mdomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu hii kitu co mchezo ujue [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamaaa kahangaika wee kutafuta concrete jungle ya namna hii nairobi nzima alaf kajaribu na kutafuta mombasa kama atapata kumbe kadondokea mdomoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana napenda video clip! Dar maneno yake kwisha!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., you swallowed the bait, nilitamani sana drone video clips kwasababu nilikua nimechambua zote availed kwa mtandao, did proper comparison analysis, mimi siweki clips blindly kwa mbwembwe za kipuzi, I take timeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hii ulio weka hapa kamaliza mchezo! Zaidi ya hii section unaita "congrete jungle"., nothing substantial to come anywhere near Nairobi far North, East, west na southπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

Just give me progress ya phase 2 brt in Dar., SGR station, naskia wamemaliza clading, the common kienyeji three levelπŸ˜‚πŸ˜‚., progress ya sgr ya umeme hapa ndio mumekomeaπŸ˜‚πŸ˜‚ small comparisons mostly wa muonekano na type of infrstracture tu not functionality.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro, just relax wacha kujikaza sana!, uliingia mtegoni na hautoki!
 
Umeambiwa uoneshe viberiti km hivi huko Nairobi wacha pang'ang'a [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…