Ni kali sana. HongeraAisee stendi hii ni nzuri kuliko uwanja wa ndege wa Jomo kenyatta
Landscaping lini? 🤔Washaanza kuweka vioo, huu mzgo unakamilika kabla ya Nov 30View attachment 1621426
Count down to Bombardier DHC Dash 8-400
Ina maana pompeo hana kazi?Hatimaye Biden ameshinda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ina maana pompeo hana kazi?
Huyu balozi akiondolewa inakuwa kichekesho si kaja juzi tu.pompeo na huyu balozi wao hapa kwetu [emoji706]
ila Trump urais anao mpk January!
Huyu balozi akiondolewa inakuwa kichekesho si kaja juzi tu.