Pitia comments za post ya Chadema kwenye ile post lissu anasema Watanzania muandamane [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapiga kura wa United Republic of Twitter and jukwaa la siasa [emoji23][emoji23][emoji23]Yeye mwenyewe katype tuandamane, alitakiwa atoke nje na speaker aseme kwa sauti tuandamane ila sio kutype... Keyboard warriors hao
Kipindi cha corona walimnanga na kumpa kejeli ya kila aina JPM,walijua watapata supports, kumbe kibao kimegeuka!
ujue Lissu alikuwa yuko kweny position nzuri sana ya kumchallenge Magu kuliko alivyofanya Lowasa 2015, lkn kajiharibia anapotukana tukana, uongo uongo na anapotegemea watu wa nje kuingilia mambo ya ndani.. watanzania tunaona na tunaelewa, asidhan hatujitambui!
We unafikiria Watanzania wako kama mambwa eti shika huyo nao wakatoka tu kama mafala flani. Kwa lipi?!kwa manufaa ya nani?!!Bado sana aisee hatujafika huko. Hao wanahamasisha maandamano wana ndg kibao tu waite koo zao ziingie barabarani maana hao ndo at least wanaweza kuwa ni wanufaika 😂😂😂😂.Pitia comments za post ya Chadema kwenye ile post lissu anasema Watanzania muandamane [emoji23][emoji23][emoji23]
Mange aliandamana mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]We unafikiria Watanzania wako kama mambwa eti shika huyo nao wakatoka tu kama mafala flani. Kwa lipi?!kwa manufaa ya nani?!!Bado sana aisee hatujafika huko. Hao wanahamasisha maandamano wana ndg kibao tu waite koo zao ziingie barabarani maana hao ndo at least wanaweza kuwa ni wanufaika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ni kweli kabisa...Mimi nilikunywa saa mbili...Ufahamu wangu uliludi saa tisaInategemeana na mtu na mtu na pia dozi (concetration) iliyotumika ila kwa wastan, inaweza kuchukua masaa 6 -12 ya tripping.
Kiufupi unapokunywa hiyo dawa, control ya akili na kila kitu ndani ya mwili wako kipo chini ya hiyo dawa...Unakutana na watu wengi Sana unapokuwa unasafiri... Kuna pattern nyingi Sana unaziona zinakuijia...Utajalibu kupambana na iyo dawa mwanzo lakini utashindwa... Kiufupi nikama unakuwa umekufa na huna tena control na kitu chochote katika mwili wako. Kama unataka kujua kuwa Kuna afterlife basi tumia hiyo dawa...I was real travelling through time...You start living a new life nakupata idea mpya nyingi Sana...Inakuchukua masaa sita kuisha...Ila kuisha kabisa Inakuchukua siku nzima...Utakuwa unafanya vitu bila wewe kujua kwa hiyo Ni vyema ufungiwe chumbani bila kuwa na kitu chochote kitakacho kudhulu...Bro, hizi ni siri za dunia ambazo wengi tumefungwa kuzijua. Imagine mtu unaacha pombe kwa kunywa kikombe kimoja tuu cha mmea.
Hii statement ni ya thamani sana, watu hawaelewi tuu.
- Ilikuchukua muda gani (baada ya kupata dozi) kurudi kwenye hali ya kawaida?
- Je, ulitapika?
- Uliweza kutembea na kuongea wakati wa dawa iko kichwani?
- Uliweza kuona complex geometric patterns?
- Kuna idea mpya zilizokujia wakati huo?
- Ukiachana na hamu ya pombe ni kitu gani kingine kimebadilika baada ya kupata
FactHii Expressway itakuwa na interchanges nyingi kuliko Tanzania yote
huyu kaishiwa na hzi ni technics za upinzani ila hazina ukweli nilkua leo nasikiza TBC jamaa akielezea anakwambia kwa awamu hii ilikua ni ngumu sana kuiba kura kaelezea vzr sana na ukiangalia ni kweli kwasababu na mm pia nimepiga kura nimeona
sio kweli na huo ni uongo na uzushi na hakuna katiba kubadilishwaBaba anaenda kuondoa term limit! Na term inaenda kuwa miaka saba.
sio kweli na huo ni uongo na uzushi na hakuna katiba kubadilishwa
uwongo hakuna kura za hvo musichukulie mambo kienyeji tu kura inayohesabiwa ni ile yenye number ya mpiga kura sasa ww unaokota makaratasi unapiga tick kwa magufuli bila no ya kadi ya mpiga kura unasema umeibiwa kura sio kwelikweli ni malofa kama kura zinakamatwa af aliekamatwa nazo hayupo yani walizikamata zikielea hewani
aliekamatwa nazo yuko wapi?
according to kenyatta and jubilee😃😃😃😃Fact
geza hakuna ukweli wowote kwa hilo mark my words na hakuna katiba itaguswa na awamu hii ccm watapiga kazi kuliko hata hii miaka mitano iliopitaHili ndo linaenda kutendeka! mbona lipo wazi subiri uone CCM true colors! Baada ya Ndugai, Majaliwa na Kabudi na wale wengine 30+ kupita bila kupingwa kinachofuata na kulipa fadhila!
geza hakuna ukweli wowote kwa hilo mark my words na hakuna katiba itaguswa na awamu hii ccm watapiga kazi kuliko hata hii miaka mitano iliopita
kwa kikwazo gani geza kila kitu kilikua wazi kabisa hao hao wamerakani ndio waliosema maalim hawezi kushinda zanzibarNgoja tuone kaka ila tuko kwenye hatari ya vikwazo vya uchumi huu uchaguzi ni aibu!
Mkuu nimeku pm.Kiufupi unapokunywa hiyo dawa, control ya akili na kila kitu ndani ya mwili wako kipo chini ya hiyo dawa...Unakutana na watu wengi Sana unapokuwa unasafiri... Kuna pattern nyingi Sana unaziona zinakuijia...Utajalibu kupambana na iyo dawa mwanzo lakini utashindwa... Kiufupi nikama unakuwa umekufa na huna tena control na kitu chochote katika mwili wako. Kama unataka kujua kuwa Kuna afterlife basi tumia hiyo dawa...I was real travelling through time...You start living a new life nakupata idea mpya nyingi Sana...Inakuchukua masaa sita kuisha...Ila kuisha kabisa Inakuchukua siku nzima...Utakuwa unafanya vitu bila wewe kujua kwa hiyo Ni vyema ufungiwe chumbani bila kuwa na kitu chochote kitakacho kudhulu...
Kama utaitaji kuacha pombe... Muda huo unaokuwa kwenye trip maisha yako yote tokea umezaliwa hadi Leo hii yanakuijia alafu inakupeleka sehemu nyingine ambapo nikama unakutana na malaika... Mimi ilo ndo Jambo la ajabu lililonishangaza Sanaaaa..
kwa kikwazo gani geza kila kitu kilikua wazi kabisa hao hao wamerakani ndio waliosema maalim hawezi kushinda zanzibar
Mm nilikuwepo ktk kuhesabu kura ilikuwa wazi kabisa hakuna wizi wwte, ktk maeneo mengi mambo yalikuwa wazi kabisa, huenda ccm pia walijiandaa kwa njia yoyote lkn wakashangaa kuona wananchi walijiandaa kuangusha upinzani kuliko ccm.huyu kaishiwa na hzi ni technics za upinzani ila hazina ukweli nilkua leo nasikiza TBC jamaa akielezea anakwambia kwa awamu hii ilikua ni ngumu sana kuiba kura kaelezea vzr sana na ukiangalia ni kweli kwasababu na mm pia nimepiga kura nimeona