Enyewe hio track iliingia aje kwenye bridge? Maana naona imeingia vizuri tu ila imeshindwa kutoka. Kuna uwezekano kuwa contractor kafanya upuzi.ningependa kuona vipimo vya hilo daraja sidhani kama allowable passage height ni 4.3 m! Na si mnayo na height clearance protection/alert? Sasa kama this truck succeeded to pass underneath, inakuwaje limegonga overpass? kama the underpass met the standards then who cleared the trailer? as seems halijafuata standards!
KeNHA ilikuwa wapi kutosahihisha?Enyewe hio track iliingia aje kwenye bridge? Maana naona imeingia vizuri tu ila imeshindwa kutoka. Kuna uwezekano kuwa contractor kafanya upuzi.
Halafu gari zenyewe ni za mamilioni ya pesa. Afadhali ingekuwa na Toyota Vitz au probox. Hapo kuna mtu ameenda hasara kubwa sana.Transporter dye mjinga,,this underpass iko muranga county,za Nairobi are higher enough for the truck,but route survey could have been conducted before actual transportation
Clear pictures of the incidence
View attachment 1615409View attachment 1615410View attachment 1615411View attachment 1615412
kuna uwezekano kuwa hawakuinspect hio flyover kabla ya uzinduzi wake. Hio ndio shida ya kutrust kwamba contractor atajenga kulingana na specifications. Ni muhimu kufuatilia ili kuhakikisha kwamba specifications zinafuatwa.KeNHA ilikuwa wapi kutosahihisha?
"Nyie mnaendesha hio nchi vibaya"Nyie mnaendesha hio nchi vibaya. Ukweli lazima usemwe. Sasa hivi sherekeeni tu ukosefu wa demokrasia ila siku za usoni mtakuja kufahamu kimo cha shimo mliojichimbia.
Ni kweli kujua dozi sahihi ni muhimu sana, haya madude yanaweza kuua mtu kutokana na tabia yake ya kuongeza mapigo ya moyo. Watu wenye matatizo ya moyo, figo na ini wanatakiwa wamshirikishe daktari kwanza.Nikweli kabisa Kama unavyodai...Hii kitu matajili wanaitumia Sana...Inabadili Maisha ya binadamu kwa kiasi kikubwa Sana...Mimi nilipewa Kama mitishamba....Sema Ni vyema uzingatie dozi usizidishe...Kuna ule mmea ambao ukishika majani yake yanajikunja..Mizizi yake ina content nyingi....Ila cha ajabu pia mkonge una content pia...
Hiyo ya mkonge ni san pedro cactus?Mimi Niliitumia ya mkonge...
Umeishia katikati .. please.. the floor ..I mean the screen is yours.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tupeane maarifa hapa mkuu.
wananchi ndio walio amua kama ulifatlia hotuba za mgombea wa ccm kilimanjaro &arusha utagundua zilikua game changer za siasa za mikoa hiyo..Nyie mnaendesha hio nchi vibaya. Ukweli lazima usemwe. Sasa hivi sherekeeni tu ukosefu wa demokrasia ila siku za usoni mtakuja kufahamu kimo cha shimo mliojichimbia.
kua mpole mkuu mbona bado sana maana tunawabunge karbia 300 so ni mapema sana ku finalise mchakato wa uchaguzi
ngoja sanctions sasa toka EU and the US!wananchi ndio walio amua kama ulifatlia hotuba za mgombea wa ccm kilimanjaro &arusha utagundua zilikua game changer za siasa za mikoa hiyo..
wapigakura wengi ni wazee na aknamama vijana waliwasaliti upinzani
pia kumbuka kura hupigwa polling station na sio jf au twitter
watanzania wengi walipiga kura za hasira sabab ya kuhisi mikono ya wazungu upinzani
swala la covd19 na kununulika upinzani.,kususasusa limewaangusha sana upinzani
upinzani kutokua na chakusimamia pia kupondea vilivyofanyika na ccm wakat wananchi wanaona vinamaana kwao
☆vingi vimechangia anguko lao na ni kitu kilkua kinategemewa kama kwa mtu anaejua siasa za tz
speaking of democracy YES tuko vizur
hizo sunctions zije kisa?ngoja sanctions sasa toka EU and the US!
ngoja sanctions sasa toka EU and the US!
Kwa iyo inaweza chukua muda gan mpaka ubongo ku recover I mean process yoteNi kweli kujua dozi sahihi ni muhimu sana, haya madude yanaweza kuua mtu kutokana na tabia yake ya kuongeza mapigo ya moyo. Watu wenye matatizo ya moyo, figo na ini wanatakiwa wamshirikishe daktari kwanza.
Hiyo ya mkonge ni san pedro cactus?
Je walichanganya na vitu vingine au ulikunywa maji ya mkonge pekee.
Psychedelics (ayahausca, mushrooms n.k) zina kemikali zinazopatikana kiasili kutoka kwenye mimea na fungae, ambapo zikiingia mwilini (kwenye ubongo) zina "reset" connections za neurons (seli za ubongo).
Kwa makabila ya watu wa Amazoni (Amerika kusini) ambao wametumia hizi dawa kwa miaka elfu na elfu, wanaamini ukinywa dawa hizi, zinakufanya uwe "in tune with nature".
Watoto (chini ya miaka 5) wanakuwa ni wa kiasili zaidi, wana furaha, wana imagination na hawaamini katika limitations. Dawa hizi zinakurudisha utotoni.
Ubongo wa mtoto unakuwa na network kubwa ya kusafirisha taarifa, ndiyo maana mtoto anaweza kujifunza lugha yoyote ile bila shida na kama akigombana na mwenzie baada ya muda anapotezea. Hii ni kwasababu ubongo wa mtoto hauna njia maalumu ya kupitisha taarifa, njia zote zinaweza kutumika.
Kadri mtoto anavyokua, ubongo unaanza kuwa na uvivu wa kutengeneza njia mpya za kupitisha taarifa, yaani bongo unaanza kutegemea zile njia zinazofahamika. Ndiyo maana kadri mtu anavyokua inakuwa vigumu kuacha tabia zake (mbaya au nzuri).
Psychedelic inachofanya ni kuangali zile njia zinazotumika mara nyingi kupeleka taarifa fulani (mfano hamu ya kutaka kuvuta sigara) na kuziziba. Psychedelics zinaweza kujua hivi kwa kuangalia kiasi cha damu inayopita sehemu hiyo (kulinganisha na sehemu nyingine) na kupunguza ili kiasi hicho kiwe sawa na kwingine.
Kwa kuwa ubongo ni "information superhighway", taarifa lazima ziende kutoka sehemu moja hadi nyingine. Na baada ya sehemu moja kuzuiwa na psychedelics, ubongo hutafuta njia mpya (ambayo zilikuwepo lakini hazitumiki) na kupitisha taarifa hapo. Muda mwingine zile taarifa (hamu ya kuvuta sigara) zikiwashwa zitapitia njia nyingine kabisa na hivyo kuufanya ubongo kuongeza network kuubwa ya kupitisha taarifa na kusababisha mtu kuacha addiction kabisa.
Kwahiyo baada ya kumaliza "trip" (kulewa), ubongo unakuwa "reset" kwa kujenga neuro pathways nyingi. Mtu anakuwa hana tena stress na worries. Na effect ya mimea hii (psychedelics) ni tofauti na ya drugs kama adderall, caffeine au hata cannabidiol (bangi) ambapo baada ya ingredients kuisha mwilini, mtu anarudia hali ile ile aliyokuwa nayo mwanzo.
Huyu simjui ila naona ameishi na Wakikuyu sana hadi anajua kuizungumza.
Duh! Na wewe una mentality ya kiboya hivi?ngoja sanctions sasa toka EU and the US!
Mimi walinipa dozi ya kikombe kimoja tu...Walichukua mkonge wakauponda kwa kuwa walitaka niache pombe walichanganya na pombe ( beer) nakuchuja....Mimi aliyenipatia hiyo dozi ni mganga mmoja wa kihaya... Yeye akutaka kuniambia anatumia Mimi...Lakini Kuna Bibi wa Kihaya ambae ndo nimuanzilishi amekuwa akiwafundisha wengine....Mimi niliambiwa na mtu (Dada) anaemjua huyo Bibi wa Kihaya....Ni kweli kujua dozi sahihi ni muhimu sana, haya madude yanaweza kuua mtu kutokana na tabia yake ya kuongeza mapigo ya moyo. Watu wenye matatizo ya moyo, figo na ini wanatakiwa wamshirikishe daktari kwanza.