Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,161
- 107,729
Mtabaki nyie tu na mitumbwi yenyu! Sie tayari tunajenga mbili Lake Victoria na mbili Lake Tanganyika!Unataka tuanze battle ya choo? Ona huyu wazimu? Kwani asubuhi ulikula staftahi ya mkojo kwa mavi? Battle ya choo sio nzuri mzee.
Ninauliza tu. Aulizaye hujibiwa. Je, bado mnasaidiwa na UNICEF kuchimba vyoo vya shimo!?Unataka tuanze battle ya choo? Ona huyu wazimu? Kwani asubuhi ulikula staftahi ya mkojo kwa mavi? Battle ya choo sio nzuri mzee.
kuna picha hapo nimeonekana [emoji1][emoji41]
Sisi hatuna maziwa makubwa kama nyie. In fact sisi tunamiliki 6% ya L. victoria. Kwa hivyo hongereni. Sisi hatuna maziwa kwa hivyo hatuna haja ya kujenga meli nyingi.Mtabaki nyie tu na mitumbwi yenyu! Sie tayari tunajenga mbili Lake Victoria na mbili Lake Tanganyika!
Ndio.Ninauliza tu. Aulizaye hujibiwa. Je, bado mnasaidiwa na UNICEF kuchimba vyoo vya shimo!?
View attachment 1612611
Mimi wala sijataka bado Bali nauliza tu kujua. Hivi flying toilet mmeshaacha na mmeamua kujengewa na UNICEF!?Sitaki battle ya choo. Hio nenda katafute mtu mwingine. Itakuwa ulikula staftahi ya mkojo kwa mavi ndio maana unataka tuzungumzie maswala ya choo? Badilika mzee
Kwani hapo Victoria si muonyeshe mfano basi! baharini je? maana sisi hata baharini tender ya meli ishatangazwa!Sisi hatuna maziwa makubwa kama nyie. In fact sisi tunamiliki 6% ya L. victoria. Kwa hivyo hongereni. Sisi hatuna maziwa kwa hivyo hatuna haja ya kujenga meli nyingi.
Ni hilo tu asante kwa kuwa muungwana. Siyo kama yule koto. Hii ndiyo reference ya jibu lako.Ndio.
Ndio tuko katika harakati ya kuzindua Kisumu port ambayo ilikuwa imekufa kifo cha mende kwa miaka nyingi.Kwani hapo Victoria si muonyeshe mfano basi! baharini je? maana sisi hata baharini tender ya meli ishatangazwa!
Kwa hivyo nyie huko bado mnakunya msituni?Ni hilo tu asante kwa kuwa muungwana. Siyo kama yule koto. Hii ndiyo reference ya jibu lako.View attachment 1612613
Mbona mnazindua bandari bila kutengeneza meli, itatumika na meli zipi?Ndio tuko katika harakati ya kuzindua Kisumu port ambayo ilikuwa imekufa kifo cha mende kwa miaka nyingi.
"https://t.co/ILCvY1jm1p">pic.twitter.com/ILCvY1jm1p— UNOC (@UNOC_UG) August 8, 2020
MV Uhuru. Angalia tena hio tweet vizuri utaona MV Uhuru.Mbona mnazindua bandari bila kutengeneza meli, itatumika na meli zipi?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sio kweli, hakuna tofauti kwa anayemiliki 90% na aneyemiliki 10% ya water body katika vyombo vya usafiri kwasababu nafasi ya kufanya biashara ya usafirishaji katika ziwa Victoria ni sawa kati ya nchi zote 3 bila kujali ukubwa wa eneo nchi inayomilikiSisi hatuna maziwa makubwa kama nyie. In fact sisi tunamiliki 6% ya L. victoria. Kwa hivyo hongereni. Sisi hatuna maziwa kwa hivyo hatuna haja ya kujenga meli nyingi.
Moja tu, tena ya zamani. Mnapaswa kuwa na meli nzuri za kisasa zitakazoweza kusafirisha watu na mizigo katika nchi zote tatu, kama mnavyofanya katika usafiri wa ndege na barabaraMV Uhuru. Angalia tena hio tweet vizuri utaona MV Uhuru.
Kwamba wangeliweza kutengeneza meli na kufanya biashara na wakapata mpunga mrefu pale lake Victoria but uwezo huo wa kiakili hawana.Sio kweli, hakuna tofauti kwa anayemiliki 90% na aneyemiliki 10% ya water body katika vyombo vya usafiri kwasababu nafasi ya kufanya biashara ya usafirishaji katika ziwa Victoria ni sawa kati ya nchi zote 3 bila kujali ukubwa wa eneo nchi inayomiliki
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Usafiri wa maji ni sawa na usafiri wa Angani, japo Qatar inamilikia eneo dogo sana la angani, lakini wanazo ndege nyingi kuliko nchi zote za EA ukijumlisha kwa pamojaKwamba wangeliweza kutengeneza meli na kufanya biashara na wakapata mpunga mrefu pale lake Victoria but uwezo huo wa kiakili hawana.
Mwanza kimkoa haiwezi mombasa na pia vile vile ki urban area haiwezi..Huwezi kuweka Mwanza na hako kauchafu kenu, ninyi level yenu Tanga, Zanzibar imeshawapiga bao siku nyingi.
Sisi tunaamini barabara zaidi.Moja tu, tena ya zamani. Mnapaswa kuwa na meli nzuri za kisasa zitakazoweza kusafirisha watu na mizigo katika nchi zote tatu, kama mnavyofanya katika usafiri wa ndege na barabara
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kunya msituni msamiati gani huo!?Kwa hivyo nyie huko bado mnakunya msituni?