Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi uki zoom picha ikiwa hainyoshi clear kw sababu ya ubora wa camera iliyochukua hyo picha..
basi ni mafu tayri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kw taarifa yako old town ni mji 19s lkn bado mpka sasa inaonyesha imeichapa mwanza..
Rudi katika hyo picha yako uangalie vizuri
 
hzo ndio standards zenu kuishi kwenye mabanda ya nguruweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hiii vp huitaki alipost mwenzio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio picha ya juu uliopost ukitoa filter unapata hzi hapa kama nasema uongo bisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
nyali ina ukubwa gani ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sehemu pekee munaeza onesha ni nyali sababu ndio matajiri wanaishi huko lakini huko mabanda umiza mutapaka filter na powder juuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ magofu haya hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…