Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,170
- 107,733
Dah yaani walitaka uwanja mwingine? Huu uliopo umekuwa mdogo ama? 🤷♂️ 😀Yeah, Bukoba hakukuwa na control tower component sababu hata hivyo plan ilikua wajenge uwanja mwingine mkubwa zaidi na walikuwa wameshaanza compensation tayari, Magufuli akawaambia waupanue huo huo mpaka kule ziwani wareclaim kuliko kuingia gharama nyingine kubwa zaidi.
Huu wa Kigoma ni mkubwa kimtindo
View attachment 1608653View attachment 1608654View attachment 1608655
Think big brother,how many jobs have been created to these citizens plus investment opportunities...Kodi. Kuna kitu kinaitwa miradi ya kimkakati bro tumesambaza nchi nzima.Really now? Bus stage of all the things? I don't understand your obsessions with bus stops. If i was in a position to influence government policy and plans, bus stage will be the last thing on my agenda.
Hahahaha mbona hayo yalikuwa mambo ya kawaida awamu ya 4 😅😅😅Dah yaani walitaka uwanja mwingine? Huu uliopo umekuwa mdogo ama? 🤷♂️ 😀
Think big brother,how many jobs have been created to these citizens plus investment opportunities...Kodi. Kuna kitu kinaitwa miradi ya kimkakati bro tumesambaza nchi nzima.
Hivi tunaposema tumeamua kujenga nchi Wakenya mnatuelewaa au tuongeze sauti? Msizani tunatania tunajenga kweli kweli, hapa nilipo tu nikitoka nje kuna ujenzi unaendelea [emoji3][emoji3][emoji3]
a.k.a mkuluwole [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakagera ulipigwa sana, ndio maana end product ikawa ya ajabu kivile, ulikua kwenye pipeline moja na hivi vilivyoachiliwa leo, ila hivi vitakua super zaidi sababu vipo awamu ya mzee baba mwenyewe fundi mkuu [emoji28]
🤷♂️ aisee nina uhakika matumizi ya Uwanja wa Bukoba hata nusu ya capacity yake hayajafika! Ngoja nicheki nondo!Hahahaha mbona hayo yalikuwa mambo ya kawaida awamu ya 4 😅😅😅
Mtu ulikua unaweza kuamka asubuhi ukaamua chochote ulichoota usiku kiwe 😀
Wasiwasi ya Nini wakati KTX zinaenda beyond that speed...Am so sure wanaleta iyo KTX japo zitakuwa tofauti na hizo za Korea kwa namna zitakavyo operate...dah but mm na wasiwasi sana na KTX coz yetu inaenda mpaka 200km / hr according to mbarawa and kadogosa
Hahahaha mbona hayo yalikuwa mambo ya kawaida awamu ya 4 😅😅😅
Mtu ulikua unaweza kuamka asubuhi ukaamua chochote ulichoota usiku kiwe 😀
Hii ipelekwe kulee kwenye uzi wa Tanzania mfano wa kuigwa, af Wakenya cku mbili hz tumewapiga sindano wameanza tena kukata tamaa unajua wakuu ngj niwaambie ukweli ni kwamba kenya co saizi yetu.
Dah ila huyu mzee anajenga hii nchi jamani doha.k.a mkuluwole [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na Nshomile wanavyosahau kwao would have been a big time wastage of funds! ungeota uyoga na buibui!Nimeona Omukajunguti international Airport 👇
https://dailynews.co.tz/news/2020-01-145e1dbfd003184.aspx
We acha tu, unajua katiba ya Tz co nzr km utapata rais chizi mana rais wa Tz ana mamlaka makubwa mno ila ukimpata rais bora basi hii katiba ni nzr sn cz yeye ndio kila kitu hakuna cha wabunge wala ushuzi wa wabunge, unajua Afrika bado kuna njaa so watu wanakuwa wanafki kutokana na njaa hvyo katiba km hii ya kwetu ni nzr sn hasa kwa kipindi hk but akitoka huyu mzee tunamuomba ahakikishe anatubadilishia hii katiba cz ukweli ni kwamba hatuwezi kumpata km huyu kwa miaka mingi ijayo.Dah ila huyu mzee anajenga hii nchi jamani doh
Jiandae kwa MajaliwaWe acha tu, unajua katiba ya Tz co nzr km utapata rais chizi mana rais wa Tz ana mamlaka makubwa mno ila ukimpata rais bora basi hii katiba ni nzr sn cz yeye ndio kila kitu hakuna cha wabunge wala ushuzi wa wabunge, unajua Afrika bado kuna njaa so watu wanakuwa wanafki kutokana na njaa hvyo katiba km hii ya kwetu ni nzr sn hasa kwa kipindi hk but akitoka huyu mzee tunamuomba ahakikishe anatubadilishia hii katiba cz ukweli ni kwamba hatuwezi kumpata km huyu kwa miaka mingi ijayo.
Hahahaha lakini nafikiri Ukitoka route ya Mwanza, Bukoba inafuata kwa kuwa tenseNa Nshomile wanavyosahau kwao would have been a big time wastage of funds! ungeota uyoga na buibui!