Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona barabara za Kenya huwa zinakukosesha usingizi. Kila siku lazima uingie kwenye hii twitter account.

Naangalia lazy nation being openly swindled of her rightful value for money for her projects by the Chinese!

Angalia what value for money mean πŸ‘‡

The 1.03 km new Selander alias Tanzanite bridge update...



















Source


MY TAKE
What percent is this project now? I believe over 50%! Anyone with credible information...
 
Magu mapema kabisa wakati anaingia aliwaambia mifuko ya hifadhi ya jamii wafanye hv, nadhani Magu anajua kwamba tukishajenga viwanda vingi zen maghorofa ya adabu ni unavoidable.
 
Raila kavaa sare za Ccm kuunga mkono rafiki yake jpm, hizi in diplomasia za aina yake




















.
Hizi nyumba aheri ya vichuguu vya mchwa ni imara kuliko Haya majaga
Zingine hizi hapa, hawa jamaa wako rough sn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1607800View attachment 1607801View attachment 1607807View attachment 1607808
 
hawa nguruwe huwa wanatucheka eti rais wetu anazindua vitu vya ajabu ajabu[emoji23][emoji23],hii kununua basi na kutangaza sijui tuseme nini?

basi lenyewe sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtangazaji anadai linabeba watu 60! Sina uhakika aisee! Nina doubt linaweza likawa la gharama ya kubeba watu 60 na si la uwezo wa kubeba abiria 60! kila kitu Kenya ni poor quality huwezi amini hata zile tourvans zao chasis elongation inafanywa na kampuni za Kitanzania!
 
Wakagera ulipigwa sana, ndio maana end product ikawa ya ajabu kivile, ulikua kwenye pipeline moja na hivi vilivyoachiliwa leo, ila hivi vitakua super zaidi sababu vipo awamu ya mzee baba mwenyewe fundi mkuu πŸ˜…
design ni moja ila jengo la Kigoma linakaa kubwa! Hivi ule wa Kagera kuna control tower?
 
design ni moja ila jengo la Kigoma linakaa kubwa! Hivi ule wa Kagera kuna control tower?
Yeah, Bukoba hakukuwa na control tower component sababu hata hivyo plan ilikua wajenge uwanja mwingine mkubwa zaidi na walikuwa wameshaanza compensation tayari, Magufuli akawaambia waupanue huo huo mpaka kule ziwani wareclaim kuliko kuingia gharama nyingine kubwa zaidi.

Huu wa Kigoma ni mkubwa kimtindo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…