Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi huwezi tukuta hapo kwa list ila come on ground tukuoneshe km nilivyokukimbiza cku ile, Tz ni nchi ya siri sn nadhani ninyi wenyewe kupitia huu uzi mmeelewa cc ni watu wa namna gn, tuna vifaa latest ambavyo ninyi hamna na bado una claim u r superior than us [emoji3][emoji3][emoji3]

Hii nchi mumshukuru Magu kidogo amekuwa muwazi so few years to come tegemea mshtuko mkubwa kwa hyo list, Wakenya hamna kitu mnatuweza amini ivyo japo mmechelewa kujua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
wazee wa wa easy[emoji23][emoji23][emoji23]

Mchina alipewa pay check yake hapa na Mamburura wakaja humu wakasema wana super highway! Nadhani vipimo vilikosewa matokeo yake hiyo misingi wa daraja na wa barabara ikapishana! Badala ya kuvunja na kujenga upya waka-resort into putting up a tyre kuepusha magari kugonga concrete! aisee πŸ‘‡ πŸ€·β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡
 
Halafu hapohapo wanategemea kupata kitu quality,wakenya hawajielewi
 
Hizo crash attenuator ( matairi πŸ˜‚ ) hayawezi ku absorb kinetic energy yakutosha ya magari yaliyo kwenye mwendo zaidi ya 15km/hr. Wangetakiwa kuweka angalau pair nyingine mbili "in series" ya hiyo.
 

The booming Mombasa City​

Oct 21, 2020 5:56 PM


Mombasa city is currently the second biggest city in Kenya both in population, infrastructure, economic output and size, it the biggest in the coastal region and the headquarters of both the county and the region, it is the oldest city in Kenya for it started long time ago as a trade center.


The city is very popular due to it's attractive beaches and world class hotels which attracts huge numbers of tourists from all over the world.



It holds the biggest port in East Africa. Mombasa is currently undergoing massive development especially in infrustructure under both the national government and the county government.





 
post one is enough wacha kujizungusha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…