Hii ni Gereji au Airport, ??my friend this is WILSON.(NOT AN INTERNATIONAL AIRPORT)View attachment 527721 View attachment 527722 View attachment 527723 View attachment 527724 View attachment 527725 View attachment 527726 View attachment 527727 View attachment 527728
SASA HII NI INTERNATIONAL AIRPORT HATA HAIJAANDIKWAView attachment 527731
NA HIZI ZA MABATI
View attachment 527729 View attachment 527730
10 years kujenga airport??? Na SGR tumejenga two years enyewe nyinyi mabongolalaMwanza ushajionea natafuta dodoma niliskia project imeanza....ten good years
10 yrs ya maendeleo tanzania ambayo inawasumbua kichwa mpaka leoπππ10 years kujenga airport??? Na SGR tumejenga two years enyewe nyinyi mabongolala
Not 4 yrs?????πππ10 years kujenga airport??? Na SGR tumejenga two years enyewe nyinyi mabongolala
Makubwa hayoUsijifanye kubadilisha mada huendi kokote uliuliza wapi conference ya Tanzania kama hii tukakuonesha conference center ukakimbia huko ukaja na hoja ya taa, unahangaika kama mtoto mdogo....dar inakuendesha mbio mbio....punguza speed utaugua
Wa Kenya ukiwaambia floor hawapendi sana wanataka meters maana majengo ya Kenya yote yana antenna juu to make them tall with meters unakuta britam half of the building ni antennaNafkiri towers 2 zisingewakimbiza kwenye over 20 floorsππππππππ
Hawana hoja floors na slums ni sumu kwaoππππWa Kenya ukiwaambia floor hawapendi sana wanataka meters maana majengo ya Kenya yote yana antenna juu to make them tall with meters unakuta britam half of the building ni antenna
Ndio maana nikawauliza Nina jengo LA gorofa moja nataka kuweka antenna ndefu kwa Kenya nitakuwa kwenye list ya majengo marefu
rudi nyuma page kama tatu ivi kuna majubu hapoNifahamisheni Kenya mko na international airport ngap
Umewaskia wapi wakitumia floors Ku measure height ya tower??? Metres,feet ndio zinatumika...jengo ka I&M Nairobi ni over 100m but 18 floors....muendelee kutuonyesha ujingaWa Kenya ukiwaambia floor hawapendi sana wanataka meters maana majengo ya Kenya yote yana antenna juu to make them tall with meters unakuta britam half of the building ni antenna
Ndio maana nikawauliza Nina jengo LA gorofa moja nataka kuweka antenna ndefu kwa Kenya nitakuwa kwenye list ya majengo marefu
You made my day.....density kuelewa shidaHawana hoja floors na slums ni sumu kwaoππππ
Hahahahhahahahhahahaha lol! Waa kwani hizo ni refugee camps
Did you know JKIA handles more than 7 million passengers...now you know
hizo ni international airports same rank na hii hapaHahahahhahahahhahahaha lol! Waa kwani hizo ni refugee camps
more than population ya darDid you know JKIA handles more than 7 million passengers...now you know
Tanzania imesumbua nani kama hata wewe mwenyewe hujui population density10 yrs ya maendeleo tanzania ambayo inawasumbua kichwa mpaka leoπππ