Jubilee shenanigans on the limelight π π π π πNaona umeachana na World Bank, is this the reason? π€£ π€£ π€£
Keeping Kenyans Connected by Enhancing the National Road Network
Hii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.Hiyo 2.7 million ni maneno ya waziri wenu. Kwa hivyo wewe unajua zaidi ya waziri husika?
Kenya haizijui hzo statistics zao uchwara, data za 2018 zetu si jana mliletewa humu..ni 1,600km mbna mnazidi kuwehuka[emoji23][emoji23][emoji23]Unatia huruma though [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Hehehehe!!jamaa mnaumia sana kumbe, mna force mpka upumbavu[emoji23][emoji23][emoji23]Bro Africa Check wame elaborate hapo sina cha kuongeza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
English ya kusoma articles za WB umeipata lini we shenanigan wa mombasani? ππππTupia hyo link ya WB
World Bank wamekufanyia nini jamani? Mbona tena huwataji? π€£ π€£ π€£Jubilee shenanigans on the limelight π π π π π
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Wiki hii hawa jamaa watachizika mwishoWorld Bank wamekufanyia nini jamani? Mbona tena huwataji? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Keeping Kenyans Connected by Enhancing the National Road Network
Africa check[emoji23][emoji23][emoji23]umetoroka data zetu za 2018 umeenda kw africa check...English ya kusoma articles za WB umeipata lini we shenanigan wa mombasani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya soma hiyo hapo [emoji28][emoji28][emoji28]
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
WB ni wakubwa mno kwa level ya akili za Jubilee ππππWorld Bank wamekufanyia nini jamani? Mbona tena huwataji? π€£ π€£ π€£
Keeping Kenyans Connected by Enhancing the National Road Network
Jana aliimba World Bank hapa siku nzima, nashangaa niaje tena hawataji jina.Wiki hii hawa jamaa watachizika mwisho
Jamaani kwn hawa watanzania tumewafanya nini wiki hii[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unakoelekea unaenda kuigombanisha English na Kenya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa unakubaliana na World Bank kuwa tulikuwa na 18,000km by 2018? π€£ π€£ π€£WB ni wakubwa mno kwa level ya akili za Jubilee ππππ
Huwezi ua nzi kwa hydrogen bomb
π€£π€£π€£π€£π£π£π£
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Data zenu zipi zaidi ya hizi? π π πAfrica check[emoji23][emoji23][emoji23]umetoroka data zetu za 2018 umeenda kw africa check...
Siku hizi unaogopa link[emoji23][emoji23]vitasa vya WB vinaendelea [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1602294
Umeikimbia africa check tena[emoji23][emoji23][emoji23]Data zenu zipi zaidi ya hizi? [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1602318View attachment 1602319
18k stretch ya mavi ya kuku π π πSasa unakubaliana na World Bank kuwa tulikuwa na 18,000km by 2018? π€£ π€£ π€£
Wenzao wamewakimbia, wameachana na vilaza wanengue kwanza hku wakiugulia maumivu chini chiniJana aliimba World Bank hapa siku nzima, nashangaa niaje tena hawataji jina.
Exagerate ndio nini sasa we shenanigan wa mombasani? π π πJamaani kwn hawa watanzania tumewafanya nini wiki hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanachizika vibaya yani..
Walianza na magazeti, tukawakaamata world bank vile vile africa check nayo imewaumbuamanake wame exagerate zaidi
Tanzania electric connectivity ni 32%Hii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.
Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..
Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!