Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeshangaa sana aliposema ati 18k highways, nadhani WaTz mmeona hawa watu, mwanzoni walikuwa wana claim 21k baada ya kubanwa mapumbu yao wamerudi kwenye 18k na wamehangaika ucku kucha.

Ss swali dogo la kujiuliza ni kwamba 2017 walikuwa na 11k ambazo wenyewe wamekubali hapa zen 2019 wawe na 21k?

Duuhhh barabara zenyewe ziko wapi mbn hatuoni wakijenga? Bora cc tungeamua kuongopa jamii ingeelewa mana kila kona ni ujenzi ss hawa ombaomba wamejanga lini hizo 10k ndani ya miaka 2? Hivi hapa inahitaji degree kweli kuelewa kwamba hawa watu ni waongo?
 
Sina uhakikka na hizi namba kwa hesabu ndogo tu hii 2.7m household inawezapatikana dar na zanzibar na inavuka maana dar is almost 97% electricity na populn ya 6+ milion hizi ni kama househld 1.8m plus znzbar unapata iyo namba yako sasa tafuta tz nzima ni ngap? Na kwa taarifa sikuizi Tz hakuna kijiji cha giza karibu vyote viina umeme na umeme kuweka ni 27k tu so jiongezeni.
 
Hawa mbuzi tayari wameshachanganyikiwa, hata ukiwaona wanavyojadili ni kama vichaa leo anasema hili baada ya dakika mbili anaruka futi 100

Tuwaonee huruma tu, wameona Tanzania tumeshawapita kwa kilometers 15k na umeme 84% hawaamini na hawataki kukubali 😅😅😅
 
Hahahaha kwa hiyo kilometres za lami kumbe zinaenda zikupungua?

Wewe si umesema kenha ina kilometres 18k na kura haijawahi kuwa na kilometers zaidi ya 500? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo ni kilometres za ushuzi?
Shikilia hapo hapo na mwishowe atakutana tu ndio alivyo akishindwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo 2.7 million ni maneno ya waziri wenu. Kwa hivyo wewe unajua zaidi ya waziri husika?
 
Ss ukienda kwa kupanic km hv hatutafikia solution, twende taratibu tumalizane kwenye paved roads kwnz zen tuhamie kwengine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ss ukienda kwa kupanic km hv hatutafikia solution, twende taratibu tumalizane kwenye paved roads kwnz zen tuhamie kwengine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nitajie kitu nimedanganya hapo tuanze one by one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…