Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dogo wacha mchezo. Hebu tazama coastline ya somalia. Hapo chini ambapo coastline ya somalia imewacha kuingia ndani na kuanza kuchange angle ya kuteremka ni Kenya sio Tanzania. Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea? Kimsingi hapo chini ya Somalia ni Kenya na Tanzania combined. Malindi, Mombasa, Kwale, na maeneo ya TZ ambayo yamepakana na Kenya upande wa Indian ocean. Tanga, Moshi, Arusha na Dar. Halafu ndani ya Kenya kuna dot imewaka ajabu. Hio ni Nairobi.
 
Dah! Mzigo wa kilo 300 daily si haba, Tanzania tumechelewa kuwa na ndege ya mizigo, lake zone kuna potential kubwa sana ndio maana Ethiopian ameenda huko.

Mi nadhani wanunue ndege ya mizigo hata kabla yaani sasa! Miaka miwili mitatu ijayo ni kuchelewesha biashara! Imagine huu mzigo ungeletwa Mwanza kwenye cold warehouses halafu toka Mwanza uende middle east na Ulaya moja kwa moja! Hili lingekuwepo kungefumuka maviwanda ya fish packing and storage na boat za uvuvi lake Tanganyika!
 
Na hapa waki update hii itakuwa ni aibu kubwa cz Tz inaongoza Afrika kwa ss ku electrify rural areas, yn mtake ndo hvyo mctake ndo hvyo.
Kulingana na minister wenu bali sio kulingana na official sources.
 
Tony haya madude yote ya nn kwn we huoni hapo kwa hii ramani kwmb umeme unawaka nairobi pekee? Nilidhani labda useme tume edit kitu ambacho cc hatuwezi fanya kamwe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Nyie mpambane na Ug, Burundi, Rwanda na Congo, cc wacha tujaribu kwenda sawa na south Afrika na ndiyo maana unaona tunafanya mambo yanayoendana na Real MIC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji121][emoji121]Inaumaaa[emoji3][emoji3]
MIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?
 
Diesel ni very costly, yaani kitendo tu cha kwamba diesel has to be imported tayari unapata picture kwamba ni costly compared to electricity from hydro, from the hydo not fossils generated, sababu Kenya wanatumia fossils generators kuzalisha umeme wao mwingi so hata wangekua na electrified SGR bado ni mulemule.
 
Nyie mpambane na Ug, Burundi, Rwanda na Congo, cc wacha tujaribu kwenda sawa na south Afrika na ndiyo maana unaona tunafanya mambo yanayoendana na Real MIC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji121][emoji121]Inaumaaa[emoji3][emoji3]
MIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?
 
Jikite kwenye facts. Thermal inacontribute less than 15% of Kenya's power generation.
 
Huyo mshamba hajui kitu, Tanzania umeme unawaka kuanzia Mtwara mpaka Tanga, wao umeme ni Nairobi habari imeisha 😂😂😂😂
 

Geothermal energy si fossil fuel! Tatizo walilonalo ni jinsi hiyo miradi yao ya renewables ilivyokuwa-procured (wamegongwa kama kawa) yaani inaondoa unafuu wa hata renewables kuwa nafuu kama inavyotakiwa!

Yaani kama GoK ingetenga fedha yenyewe na kujenga hiyo mitambo ya Geothermal kwa kuajiri contractor umeme ungekuwa rahisi zaidi kuliko kuachia makampuni ya kimagharibi yanayotafuta faida kuja kuzalisha umeme na kuuzia Kenpower!
 
Tatizo co kuingia tatizo ni ku maintain kitu ambacho nyie hamtaweza na amini nakwambia mnarudi ldc soon just wait new report.
Gni per capita ndicho kigezo kinachoamua nani anarudi Ldc na nani anabaki Mic. Sudan wamerudi Ldc miezi mitatu iliyopita. Sisi tuna Gni per kubwa kuwashinda kwa hivyo ninyi ndio mtarudi Ldc kwanza kabla yetu.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Mi nadhani wanunue ndege ya mizigo hata kabla yaani sasa! Miaka miwili mitatu ijayo ni kuchelewesha biashara! Imagine huu mzigo ungeletwa Mwanza kwenye cold wrehouses halafu toka Mwanza uende middle east na Ulaya moja kwa moja!
Ndege inakuja tena kwa haraka, hilo sina mashaka nalo. Biashara ni kubwa sana ya mzigo, lake zone pekee inaweza kujaza ndege, hapo bado avos na horticultures za Southern Highlands, cashews, horticultures and avos za Northern zone, the business is way lucrative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…