umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna weweππππWewe kweli mbumbumbu. You can have access to electricity but you are not connected. Here we are more concerned about the total number of people CONNECTED to electricity, sio watu wanaoona nguzo za stima zikipita kilometer kumi kutoka waliko ila hawatumii umeme majumbani mwao. Tanzania mko na watu 2mln wanaotumia umeme ila Kenya kuna watu 6mln. Huoni kwamba argument yako ni ya kijinga?
ww hua nakwambia akili yako hata IQ yako inaonesha iko chini sana katika ufahamu ππWewe kweli mbumbumbu. You can have access to electricity but you are not connected. Here we are more concerned about the total number of people CONNECTED to electricity, sio watu wanaoona nguzo za stima zikipita kilometer kumi kutoka waliko ila hawatumii umeme majumbani mwao. Tanzania mko na watu 2mln wanaotumia umeme ila Kenya kuna watu 6mln. Huoni kwamba argument yako ni ya kijinga?
Kingine villages connection ipo chini ya REA ule umeme wa bei rahisi! Connection ya urban n periurban haijawa counted kwenye hiyo 2.7mln households!ww hua nakwambia akili yako hata IQ yako inaonesha iko chini sana katika ufahamu ππ
2.7 million customers na mtu mmoja anaemiliki gora lenya 15 floors kuna appartments ngapi na kuna watu wangapi ndani yake
mbona ni akili ndogo tu yakutumia na ushaambia kila household moja ina watu 6 so take calculatuon and know how many people πππ
Hujitamba demokrasia!yani wanaivurga nchi huwez poteza two good years kufanya siasa wakat uchaguzi ni 2022 πππ
Kwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!2.7 connections not people
Ukitaka roughly kupata how many people you have to multiply by the size of households in TZ which is 6people per Household..
That's makes an estimated total of 2.7mx6 Tanzanians connected to electricity. Ni kweli huelewi au you are distorting the facts by way of misinterpretation!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
yani hata nawashangaa akili zao hawa watu πππππ REA one mpak three ni kitu kingine kinajitegemeaKingine villages connection ipo chini ya REA ule umeme wa bei rahisi! Connection ya urban n periurban haijawa counted kwenye hiyo 2.7mln households!
nyinyi tayar kwnye calculation zenu mushaweka kwani nyinyi hua munachelewa kwenye sifa ππππ au pia utabishaKwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!
Hapana ninyi tumieni hii πππKwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!
Na sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna weweππππ
tuchukulie gorofa moja lina floor 10 na wanaishia watu 60 humo ndani hao idadi yao imejumlishwa???
shulenu hua munasoma nn nyinyi
wacha kujilinganisha! hapa ndo mlipofikia! umeme unafuata Mombasa-kisumu railway!Na sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!
Niambie Kenya iko wapi kwenye hii map (circled area) kisha uniambie Tanzania iko wapiHapana ninyi tumieni hii πππ
Tukiwaambia Kenya ni Nairobi tu mnajamba π€£π€£
View attachment 1601762
The fools easily shoot themselves in the legπππππ mwingine anajidai kutembea Kenya kumbe ni google tu., πππNiambie Kenya iko wapi kwenye hii map (circled area) kisha uniambie Tanzania iko wapi View attachment 1601812
I said 2.7 million customers which are the same as 2.7 million households. If I go with your estimation of the number of people per household, then the total number of households in Tanzania is 56 /6. That brings about 9 million households in the entire country. So according to you, 2.7 million of 9 million ni 84%? π€£ π€£ π€£2.7 connections not people
Ukitaka roughly kupata how many people you have to multiply by the size of households in TZ which is 6people per Household..
That's makes an estimated total of 2.7mx6 Tanzanians connected to electricity. Ni kweli huelewi au you are distorting the facts by way of misinterpretation!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
The smart ones know where they belong, nikutapa tapa tu imebakiππππ ngoja uone escape mechanisms watakuja nazoπππππ idiots ni wengi balaaπππhii jf imekua entertainment joint.I said 2.7 million customers which are the same as 2.7 million households. If I go with your estimation of the number of people per household, then the total number of households in Tanzania is 56 /6. That brings about 9 million households in the entire country. So according to you, 2.7 million of 9 million ni 84%? π€£ π€£ π€£
If I can trust my maths I think that will be:
If 9 million = 100%
What of 2.7 million= ?
2.7/9*100 =30%
So your electricity connectivity rate is 30%
Wewe unajua maana ya household kweli? In that 10 floors highrise every occupied inhabitable house is being counted as household. So hao watu 60 maybe wanaishi kwa nyumba sita tu kwa hiyo gorofa which brings the number of households to 6. Sasa shirika la umeme watasema kuwa they have six custumers kwa hiyo gorofa na sio 60. Hope umenielewa vizuri.umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna weweππππ
tuchukulie gorofa moja lina floor 10 na wanaishia watu 60 humo ndani hao idadi yao imejumlishwa???
shulenu hua munasoma nn nyinyi
World Bank sio wajinga wakisema kuwa Tanzanian connectivity rate ni 32% π€£ π€£ π€£ .The smart ones know where they belong, nikutapa tapa tu imebakiππππ ngoja uone escape mechanisms watakuja nazoπππππ idiots ni wengi balaaπππhii jf imekua entertainment joint.
Achana na hao, nishawapigia hesabu legit nikapata 30%. Nangoja mwenye atakuja kupingaNa sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!