Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati unaimba pambio unapaswa kujua vijijini kunganishwa umeme ni 27000 tu Tsh...sasa endelea kuongea kama hamnazo....kama unakili timam utacha ubishi wa kipuzi
2.7 million customers connected to electricity in Tanzania as of 2019.
6.9 million customers connected to electricity in Kenya as of 2018.
 
Sasa mbona unalia? Hiyo 2.7 million customers connected to electricity nimetoa kwa zile links za Ichoboy. Sasa nataka uniambie tangu lini 2.7 million households out of more than 10 million households zishaikuwa 84%. Ebu nieleze nielewe.
2015, wakati wanaingia madarakani, vijiji vilivyounganishwa vilikua ni 2000, sawa na 32%

Wameunganisha vijiji 7000 ndani ya miaka mitano ya uongozi wao kufikisha vijiji 9000, bado inabaki kuwa 32%, au ndani ya hiyo miaka mitano hawajaunganisha hata kijiji kimoja?

Sikiliza kwa makini
 
Wewe uoni data zako ziko na shida? Tanzania only have 2.7 million custumers that are connected to electricity. Kwani hao 2.7 million inatoshana na 84%? 🤣 🤣 🤣 🤣
ukweli hautabadilika ulie au ucheke kwa namna yoyote hautabadika ukweli kua tanzania access to electricity inaongoza 😂😂👏👏👏
 
Good. Now electricity Access rate inatoka kwa the number of connected households divided by the total number of households in the country and then you multiply by 100. Ikifanywa hivo mnabaki kwa 32%
👇👇👇👇👇👇
27557202-DE74-4A7D-9547-96B9ACFA1533.jpeg
 
Ss hata ukipewa facts bado unapinga utaishi maisha hayo mpk lini? Kwnn unapenda kujifariji ujinga? Watu wanakupa recent record ww bado unalazimisha na records za kitambo kwnn unakuwa na utoto mwingi hv? Ss hii ni battle gn ya kipuuzi hv eti? We kuwa km wenzako umeleta source ya uongo ya 21k paved road wamekupa source from WB ya 11k bado unapinga.
huyo ni kawaida yake mm hua sipati nae tabu 😂😂😂😂😂 namjua vilivyo
 
mtu gani anapewa ushahidi zaidi ya 100 anakataa 😂😂😂😂 na zote za 2020 yani anafkiri tanzania ipo tu imekaa 👏👏👏

yani mkenya anafikra kua tanzania ni adui yao kwa kila kitu 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom