Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

now leta zikiwa na registration ya Kenya! zinaweza kuwa kwenye exhibition!
Wewe unaongelea exhibition wakati ndege zinachapa kazi Somalia saa hii πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Teargass huyu jamaa unaweza bishana nae kutwa nzima na clear facts, Hapo kwenye umeme kwa mf, Mtu anaeongoza kusambaza umeme kwa kasi kwa kifupi unaweza kuona ni ambae alikua nyuma zaidi kwenye iyo idara...yani ukisambaza umeme kwenye vijiji 5k kwa miaka 5 manake kasi yako iko vizur ila kwa tafsiri ingine hao wateja wapya hawakua na umeme kabla....Tunaweza kujipongeza kwa kusambaza umeme kwa kasi leo lakini vp Upatikanaji wa Huo umeme na watumiaji wa Huo umeme unaendana na target ya serikali kivipi kwa mfano....Lengo kuu hapo ni kukuza uchumi kwa kukusanya tozo za matumizi ya umeme...sasa kwa mtu ambae ndio kwanza kaupata umeme anaweza kuutumia kwa ufanisi uliokudiwa Au ni service oriented
 
Wacha kukimbia mada, how can a modem country to have only one body carries Researches on Economy survey, are really serious?
Nyinyi ambao mko na bodies kumi mbona haijawasaidia kuwa na uchumi kubwa kushinda sisi wenye tuko na body moja?
 
Hizi ndio hesabu za saint kayumba preparatory??
 
Mkuu,hivi unakumbuka ile hotuba ya Mwl.Nyerere ya watu kugeuka mawe mlimani? Rais Magufuli ameifanyia kazi vizuri Sana ile hotuba.
Acha tuu Mkuu, Eti mpaka huyu mgombea uraisi wa chama kile kwa kujidai m'bobezi wa sheria eti akawaaminisha Watanzania tutafungwa kwa kuvunja mikataba...Kelele zile zilikuwa zinatisha sana.
 
Na project ya Maji Arusha $500milions
 
Hivyo ndivyo mlifundishwa shuleni? Kwamba Ethiopia haiko East Africa geographically? It's not about muono, it's about facts. Facts that will never change. Facts that have been cemented and documented in history books. If Ethiopia is not in East Africa, then is it in West Africa, North Africa or southern Africa? Vilaza wa Tanzania mko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…