Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

povu limemiminwa hapa kweli kweli
 
See this one....Nairobi has many holes no any tower at all aerial view
Just compare with Dar as well
Be smart those images are not from the same height distance, don't be bias. On the Nairobi pic you can even see the plane is clearly on the clouds level. Ama undhani hatujapanda ndege.
 
kinachonifurahisha zaidi hadi raia wao .....kaja kutalii Tz na hajaenda kutalii kwenye asili yake kenya......sasa na kuendelea ni kichapo tu someni juu hapo[emoji115]
 
Nani amekudanganya, lakini nynyi mumejaa ushamba, celebrities wengi huja kutalii Kenya but it's nothing to write about cause that's there private business.
 
Be smart those images are not from the same height distance, don't be bias. On the Nairobi pic you can even see the plane is clearly on the clouds level. Ama undhani hatujapanda ndege.
Unalazimisha ushindi sasa ambao haupo....nyie Hamna tower kabisa bora dar zipo mbili....na izo ni chokochoko zenu wenyewe
 
Sasa kama sahii uko in denial na zile zipo under construction zikiisha si utameza sumu ju ya denial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…