Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ulishamsoma hata wewe, niliona umlimfanyia sana katika sekta ya barabara mpka akaanza ku post vitu havielewi..
Yani ywaruka ruk km malaya bikra vile
Huyo najua vizuri sana, yeye na ichoboy01 ujinga zao ukiweka kwa kilo zinatoshana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kumbe ulishamsoma hata wewe, niliona umlimfanyia sana katika sekta ya barabara mpka akaanza ku post vitu havielewi..
Yani ywaruka ruk km malaya bikra vile
Hahahaaa alikimbia jana uyo ngoma ilienda mpk saa7 akatii amri.
 
Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.
Wewe wacha ushamba. Wachana na mambo ya "classified". Wewe tuambie nyie mna lami kilomita ngapi? Sisi tuna 21,000 km. Nyie yenu ni ngapi?
 
Hahahaaa alikimbia jana uyo ngoma ilienda mpk saa7 akatii amri.
Kawadanganye wanao[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mjadala niliufuatilia na hadi leo pia nilikua naufuatilia..
Kitu niliona ulianza kujitia uchizi
 
achana nao hawa bro akili hakuna kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😁😁😁😁 Uhuru na Jubilee inawalokota anafikiri na sisi atatulokota kama maembe, eti anasema kwenye international roads wana kilometers 40000 wakati Hakuna barabara ya lami ya kwenda Sudan, Somalia, counties zao 80% hazijaungwa kwa lami halafu kwenye utopolo wao inaonesha wana trunk roads 5k kilometres na 4k kilometers za national roads

Huu si utopolo jamani 😁😁😁😁

Ukweli mchungu huu hapa
 
Nyie mna lami kilomita ngapi? Weka ushahidi. Wacha maneno mengi
 
Kwani mimi nimchawi ndio nikae macho mpaka saa saba? Mbona leo asubuhi Ulikimbia ukaanza kuokota picha za kitambo ?
Kwahyo kumbe nilikuwa nakuharibia mipango yako ya kuwanga ndio maana ukaamua kukimbia kwenda kuwajambia jambia wenzako [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukweli ya Wikipedia? 🀣 🀣 🀣
 
Ukweli ya Wikipedia? 🀣 🀣 🀣
, 😁😁😁😁 reference zote zimetoka kwa wanaowapa mikopo ya kujenga hizo barabara

Sio unatuletea brochures za Jubilee sisi, wapelekee kondoo za Jubilee sio sisi tena ukome 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…