Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huwa ni mtu mjinga sana, sasa umeamua kutafuta picha ya hiyo place before hiyo barabara ijengwe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hii hapa chini ndiyo footbridge ya hyo road [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
 
And FYI, hii road inaongoza kwa accidents kenya yn inaua binadamu km ng'ombe, hyo yote ni kwasababu ya uzembe kenya inao kwenye construction
Leta evidence kuwa hiyo road inaongoza kwa accidents.🀣🀣🀣
 
Pole sana.
Tanzania paved roads in 2020 ni 12,000km
Kenya`s paved roads in 2019 ni 21,000km
View attachment 1599465View attachment 1599466
View attachment 1599462
Hahahaha labda kwenye ndoto, unakuja na takataka zako hapa hazina source, umekaa kwenye PowerPoint unafikiri wote tuna akili visoda kama wewe? 😁😁😁😁

Source kutoka kwenye Kenya Roads Board ipo kwa hewa, mna kilometers elfu 4 tu za lami kati ya kilometers 12k ambazo zinaonekana kama zina lami

In reality hata Burundi imewapita kwa kilometres za lami 😁😁😁😁

 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa hii ni source gani??tuma link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…