Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna infrastructure ipo Nairobi isiwepo Dar ila kuna infrastructure zipo Dar Kenya nzima hamna, inauma ila ndio hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Of course kuna infrastructure iko Dar na haiko Nairobi kama arena ya kisasa ya tent 😂 😂
 
First of all, Hiyo next door something ni club. Secondly, hakuna indoor Arena in Tanzania and you won`t have it anytime soon. Third, the indoor Arena is not whatever you think.
https://www.wikizero.com/en/List_of_indoor_arenas_in_Africa
 
Of course kuna infrastructure iko Dar na haiko Nairobi kama arena ya kisasa ya tent [emoji23] [emoji23]
Najua sn inauma ila ndio hivyo utafanyaje, watu tuko serious kujenga sema tulikuwa hatuongei but now mmetuchokoza na dunia nzima inaona jinc Tz iko more advanced than Kunyaland [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Milimani City nayo ni mall. They must be confusing those cinema halls found inside shopping malls as indoor arenas. Hawa watu si ni washamba jamani!!
Hauna Knowledge ya Tz alfu unaandika tu vitu
Mlimani city ina vitu vinne
1.Mlimani City Mall
2 .Mlimani city Hall
3.Mlimani city office park
4.Mlimani city villas

 
Hakuna infrastructure ipo Nairobi isiwepo Dar ila kuna infrastructure zipo Dar Kenya nzima hamna, inauma ila ndio hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I repeat again,
Do you have an aquatic stadium?
Do you have an indoor Arena?
Do you have an underpass road?
 
Kwa hivyo hata zile tents za Churchill Show nasi pia tuanze kuziita indoor arena? 😂 😂
 
Sasa unataka nami pia nikubali kwamba tent ni indoor arena ndio tuwe wajinga wawili au? Baki hapo na ujinga yako, usinilizimishe nami pia niwe mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…