Siezipingana na watu wa tent ya matanga 🤣 🤣 . For your information that Arena has a capacity of 5,000 seated spectators.Hahhagaaa Kenya wababaishaji sn, kwahyo hiyo ndiyo Arena mbn kaduchu hivii zen mtaambiwa ni $700mil[emoji3][emoji3][emoji3]
fungua hii video alaf toa ushuzi wako saaa👇👇👇👇Siezionea hile tent wivu, mbona nione wivu na tuko na kitu hamatawai kuwa nayo👇👇
View attachment 1597220
Hawa wakenya bana baada ya kuona ile ya kigali ina capacity ya 10k na yao wameassume the same wajisifu tu.Siezipingana na watu wa tent ya matanga 🤣 🤣 . For your information that Arena has a capacity of 10,000 seated spectators.
Maneno 10 ya mkenya chukua moja nenda zako [emoji116][emoji116]Siezipingana na watu wa tent ya matanga [emoji1787] [emoji1787] . For your information that Arena has a capacity of 5,000 seated spectators.
Hiyo video nimeona kwanzia mwanzo hadi mwisho na ndio maana nakuambia inafanana na tent ya matanga.fungua hii video alaf toa ushuzi wako saaa👇👇👇👇
Kwani nimesema nini?Maneno 10 ya mkenya chukua moja nenda zako [emoji116][emoji116]View attachment 1597229
Wameweka kunako Google wakasema inaingiza watu 5k ila reality ni 1k[emoji3][emoji3][emoji3]Hawa wakenya bana baada ya kuona ile ya kigali ina capacity ya 10k na yao wameassume the same wajisifu tu.
Reality humo ndani wakiingia watu 2k tu hawapumui.. wanakufa kwa kukosa hewa.
naona umechange from 10000 to 5000😂😂😂😂😂Siezipingana na watu wa tent ya matanga 🤣 🤣 . For your information that Arena has a capacity of 5,000 seated spectators.
Kabadilishaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani nimesema nini?
Hile tent yenu hata watu hamsaini wanaezatoshea kweli? 🤣 🤣 🤣Hawa wakenya bana baada ya kuona ile ya kigali ina capacity ya 10k na yao wameassume the same wajisifu tu.
Reality humo ndani wakiingia watu 2k tu hawapumui.. wanakufa kwa kukosa hewa.
umebadilisha uliandika 10000 😂😂😂😂Kwani nimesema nini?
sikiza hii video utaijua capacity yakeHile tent yenu hata watu hamsaini wanaezatoshea kweli? 🤣 🤣 🤣
Screenshot pale penye nilisema kuwa inaaccomodate watu 10,000naona umechange from 10000 to 5000😂😂😂😂😂
Unazuga baada ya kutoa boko etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hile tent yenu hata watu hamsaini wanaezatoshea kweli? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nishaangalia hiyo video, sasa mbona nitaze tena? 🤣 🤣sikiza hii video utaijua capacity yake
Niko na matanga na sina tent, I`m planning to hire that one😂😂Unazuga baada ya kutoa boko etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hyo Arena yenu ni uchafu tu na ndiyo maana hamkuwa mkiisema humu ndani cz ni aibu na ni ushuzi bora waseme Rwanda tutaelewa.Niko na matanga na sina tent, I`m planning to hire that one[emoji23][emoji23]
Tena jamaa nimekalia kimya kuna Next Door arena yenye seating cap 7000..na standing hata 10k hyo ndo performance kubwa zinafanyika....ww sijui mtu wa wapi unaushamba sana nenda na wakati dunia imebadilika kabisa
Thats private propertyHohoho hata Burundi pia wako na ilani ya kujenga gorofa refu duniani. By the way hiyo tent ya Matanga ndio kitu mlikuwa promised don`t expect something ele.