Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nishaeka, kwani umepotea tena? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ama ni uogo ndio uko nayo.
Nilikuwa na majukumu kdg c unajua cc tuliojiajiri hatuna mda maalumu, tofauti na wenzetu kula kulala mna mda mwingi wa kushinda humu Jf, ok tuendelee nshakuwekea mwiba[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wacha wapate ya kuongea nafrahia kuona wakitumia 1% wa ubongo wao,hahaha
Yes nyie ni asilimia 1% inawatosha kuwapindua kimaendeleo km unavyoona matreni ya umeme, kila nyumba kuunganishwa kwa miundombinu ya gesi (few years to come), bwawa la umeme jnhp ambalo likiisha tutakuwa tunawauzia kaziada katakakobaki, chakula tele tele mpk tunawaleteeni na nyie huko msipike mawe, ma interchange ya kisasa kabisa, madege brand new in cash basis, list is endless [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu hii debate wala wasikusumbue ichoboy alishamalizana nao juu na hawaongelei tena cku hz.
 

5. KhN has 2k beds.. mwaka 2016 pekee magufuli aliongeza vitanda 2000. Muhimbili baada ya kukuta scarcity.. so khn kuwa na vitanda 2000 ni dharau maana ivyo sisi vilikua vya kuongezea tu..
Hata ivyo mimi siongelei muhimbili naongelea mloganzila ambayo imejengwa na kikwete nadhani 2015 sina uhakika ila ndio modern hospital hata private zenyewe hazigusi..

Ranks.. ukiongelea mambo za ranks obvously mimi huwa siamini kwasababu inategemea na promotion mlioipa but with no promotion majengo ya dar hutumika kama picha ya maendeleo ya majeng bara la afrika bila kutaja nchi..
7. Unajua nyinyi mnajenga saivi lkn katika official buildings ambazo zimekamilika na zinatumka miak 4 nyuma mlikua na nusu ya dar lkini kwa sasa ivi tumewazifi kidogo
8. Labda hujui three interchange ni nini.. hapa sikulaumu.
9. Nimepinga leta GAME
10.we are all underdevelopment am just speaking about cities. In reality Nairobi is behind us but becouse of your ushamba na uhaya(samani wahaya) people who know nothing about you believe and that is the world we live in.
13. Are Sure?? Kwa jins kenya inavojipendekeza international, kwe team kama sevilla, brazil. Zingeacha kwenda kenya kama kungekua na facilities?? Kumbuka brazil walikuja bonga kujiandaa na world cup kama sio wc bus zilikua zili continetal cup lilifanyika south. But hata ligi tu zinaongea.
14. Best league?? Iyo nadhani ungekaa kimya wachezaji wa kenya wanacheza vizuri ili wanunuliwe tz.
18. Nadhani hii fanya research itakusaidia.
19. Unahitaji picha.
..20+. Nan alikwambia culture na society hazitumiki kucompare cities izo ni vitu za kwanza.


By the way nilisahau hii dar es salaam kua airport kubwa ea africa ina accomodate watu 8.5m per year. Nadhani bado kuwa busy tu.

Note. Ukitaka kuona tabia ya mkenya jiangalie yani mimi nilipokujibu kwenye yes nilisema yes but ww ulipambana kutoa kasoro hata ulipokosa kasoro uliruka. Hhhhhhhh kenyan bana ujanja ujanja mpka sehemu siyo za kufanya ujanja.
 
This is 2.5 levels not quite 3 levels as the top level is not a dual highway! Sorry try not to compare that to the three levels Ubungo interchange!
Tumewaambia mala nyingi hawasikii japo kidogo cku hz wanaona aibu kulinganisha.
 
Hehehehehe mkuu umetisha sn ila hyo no16 pia wasikuingize mkenge takwimu from WB zilishawekwa humu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Keshakasilika hapo ni matusi mtindo mmoja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa kujifariji huyu c mchezo, alafu mbn umeruka no16 maamaeee cku mna heshima sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa kujifariji huyu c mchezo, alafu mbn umeruka no16 maamaeee cku mna heshima sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani mkunya kukubali kwamba hapa kweli mko juu ni ngumu ndomna wanadanganywa nq serikali yao wanakubali kwasababu si teyar serikali inajua akili zao.
 
Huyo ndiye mkenya aliyebaki na ukenya wake cjui kabila gani huyo dada, ila Wakenya wenzake karibu wote wamebadilika kiasi, sehemu wasiyojua wanakubali wakishindwa wanakubali ila huyo mwanamke Teargass cpati picha mumewe yupo kwenye hali gn.
 
Leo nilikua maeneo flani pale standard chartd post karibu na ukumbi wa nyerere na ifm. Wakati nasoma pale nilipaona kawida sana. leo nimeiangalia ile mitaa kwa makini nikagundua kumbe mazoea ni mabaya sana.. yani nilipazoea nikawa napaona pa kawaida ila kama eneo lile lingekua kenya mgeambia best cbd in east and central na ndo mana pamoja na yale majengo marefu pale bandarini mimi ukinambia nikupeleke sehemu ya kuvutia posta ntakupeleka ile mitaa hautokaa uwe dis appoited hata siku moja kila kitu pale kizuri kuanzia madhari mpka watu..
 
Kuna video iliwekwa humu kuna dada mmoja mmarekani mweusi akimuhoji jamaa mmarekani mweusi pia wakiwa USA, yule dada akamuonesha jamaa picha ya mji fulani akamuuliza hapa wapi jamaa akaanza kutaja china yule dada akamuambia umekosea hapa ni Dar es salaam Tz in Africa jamaa alishangaa sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hiyo video inapatikana wap?
 
18. Speaking of Karatina and wakulima markets

mybe am the one mistaken maybe kriakoo is not market,i read somewhere katarina capacity is 3000 busness per day i realize kariakoo in not market. Maybe market business town becouse it hold up to 200k per day people from different countries in short its small guanghzou.
 
Hahah hivi jamaa anaijua Kariakoo kweli?? akitoka Karatina na Wakulima atakuletea Gikomba....
Mwambie aunganishe hizo soko zote tatu bado haziifikii Kariakoo kwa kila kitu
 
Umewahi sikia mwale city huko kakamega nanii,jisomee hapa ,inakuja kwa kasi kuliko hata akina Tatu na Konza city
https://www.facebook.com/
 
Umewahi sikia mwale city huko kakamega nanii,jisomee hapa ,inakuja kwa kasi kuliko hata akina Tatu na Konza city
https://www.facebook.com/
Munasubiri iishe musebe best in east and central.??

Bay the way iyo haifikii mloganzila ni vile wabongo hatupendi kuongelea mambo zetu na mloganzila inafanya kazi teyari..

wakati nyie mnafungua iyo sisi tunafungua izo refera kama izo kila kanda more than 4..

Zaidi ni kwamba facilities zake ni za kisasa kuliko hata agakhan ya kenya..

Na iyp picha kwenye kitanda siyo ICU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…