Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata usijisumbue kutafuta cause they are not there. Kwani hujui kuwa Banks kumi bora za Tanzania faida zao zikiunganishwa haifikii faida za KCB Bank ya Mwaka moja?

Lakini KCB ni Muzungu Bank au ilianzishwa na Muzungu at least, ina miaka zaidi ya 100 of course its richer, Benki zetu zimeanzishwa baada ya Uhuru, ...
 
Kwani hamjawiacha kuiba mapicha?

Hohoho, ati hii box ni kali? Please tafuta daktari wa macho.
Inauma eehh, tafuta location km hii kenya nzima nitoke Jf
Screenshot_2020-02-16-14-12-57.jpeg
 
Hata usijisumbue kutafuta cause they are not there. Kwani hujui kuwa Banks kumi bora za Tanzania faida zao zikiunganishwa haifikii faida za KCB Bank ya Mwaka moja?
Wah,sikujua hivo,I thought Tz ni a big financial country, na pia si huwa naskia iko na ma billionaire wengi sana EA,kwani pesa wanaweka wapi bas?this is ironical,, dunia haitawahi isha vituko na viwonders,hahahah
 
Wah,sikujua hivo,I thought Tz ni a big financial country, na pia si huwa naki iko na ma billionaire wengi sana EA,kwani pesa wanaweka wapi bas?this is ironical,, dunia haitawahi isha vituko na viwonders,hahahah
Pesa wanaweka chini ya matress 😂 😂
 
Wah,sikujua hivo,I thought Tz ni a big financial country, na pia si huwa naki iko na ma billionaire wengi sana EA,kwani pesa wanaweka wapi bas?this is ironical,, dunia haitawahi isha vituko na viwonders,hahahah
Benki zenu zinapatia faida Tz ndo mana Magu ameanza kuzipiga spana
 
Back
Top Bottom