inachekesha leo kuoma madaktari hawalipwi mishahara alaf munakaa munakunya humu eti sisi GDP kubwa sasa hio GDP yenye madeni asilimia 70% inasaidia nn πππSasa nchi ikiwa na industrial strikes ina maana mumewapiku ama GDP yao ni hafifu? this is a common occurrance ata in developed economies across the globe, KNH wanalalamika serikali haijatimiza makubaliano ya maktaba ya nyongeza ya mishahara πππππππ , and for your information nina hakika mishahara yao kwa sasa ni zaidi ya wale wenu, na bado wanalia liaπππ you are too pedestrian in your argument, nilikuambia ukachukue application form ya Dodoma Uni then DM me ndakulipia karo, mambo ya uchumi uko ovyo, stick to your lane ya mapicha babyππππ unaletea Tz aibu.
mishahara zaidi lakini hawalipwi ndio cha ajabu sasa ππππ nimeskia kisumu imechukua loan to pay salaries ndio nchi imefika hapo ππππππSasa nchi ikiwa na industrial strikes ina maana mumewapiku ama GDP yao ni hafifu? this is a common occurrance ata in developed economies across the globe, KNH wanalalamika serikali haijatimiza makubaliano ya maktaba ya nyongeza ya mishahara πππππππ , and for your information nina hakika mishahara yao kwa sasa ni zaidi ya wale wenu, na bado wanalia liaπππ you are too pedestrian in your argument, nilikuambia ukachukue application form ya Dodoma Uni then DM me ndakulipia karo, mambo ya uchumi uko ovyo, stick to your lane ya mapicha babyππππ unaletea Tz aibu.
habari kama hzi hamuzipendi najua ππππππππSasa nchi ikiwa na industrial strikes ina maana mumewapiku ama GDP yao ni hafifu? this is a common occurrance ata in developed economies across the globe, KNH wanalalamika serikali haijatimiza makubaliano ya maktaba ya nyongeza ya mishahara πππππππ , and for your information nina hakika mishahara yao kwa sasa ni zaidi ya wale wenu, na bado wanalia liaπππ you are too pedestrian in your argument, nilikuambia ukachukue application form ya Dodoma Uni then DM me ndakulipia karo, mambo ya uchumi uko ovyo, stick to your lane ya mapicha babyππππ unaletea Tz aibu.
I thought mombasa pamoto kumbe kumechakaa vibaya
tena picha imepigwa makeup ya kufa mtu lakini bado magofu yapo tu ππππI thought mombasa pamoto kumbe kumechakaa vibaya
Kageuza sehemu kadha za Dar, na kiasi nje, sio nchi., tuelewane kaka, kwa propaganda hauna mpinzani humu π π π πcoco beach sasa kazi kazi πΉπΏπππ
miaka minne jamaa kageuza nchi View attachment 1584730View attachment 1584731
Chenga tupu bruh,kule pembezeni mwa bahari ndio kutamutena picha imepigwa makeup ya kufa mtu lakini bado magofu yapo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna miaka tanzania imejengeka kama miaka 4 ya huyu jamaa najua inakuuma lakini ndio ukweli na huwez kubali ππππKageuza sehemu kadha za Dar, na kiasi nje, sio nchi., tuelewane kaka, kwa propaganda hauna mpinzani humu π π π π
ππππ alaf anajisifu mwenyeweChenga tupu bruh,kule pembezeni mwa bahari ndio kutamu
Uchumi makini bila umeme wa uhakika haupo, hapa [emoji736]
hamuwez kubali nyinyi hata yesu ashuke sasa hvi ππππππππ hamuoni mazuri kwasababu ya chuki zenu na laana mlizoachiwa maendeleo yakifanyika CCM wabaya hahahahahhaaKasema TZ news online from skewed ccm data, na kama ni ukweli, in economics masikini hawezi kukua na deni kubwa, in most cases hawezi afford big loans, ndio maana nchi mingi zenye uchumi mkubwa their debt to GDP ratio ni kubwa kubwa, unajua ni kwa nini? think deep kakaπππππ wacha nikusaidie, ukitaka kushika wana siasa na propaganda zao, just take your national budget and analyse all the needs presented, then check your annual revenue collection, utaona vile Tz haina sufficient vyanzo vya kutega uchumi to support your annual budget expenditure, leave alone ku finance the big infrastructure projects CCM inatumia ku campaign by lying to clueless Tanzanian kama wewe. Walikataa any other independent research body wasichapishe utafiti wao ila serikali pekee, balaa bro!
tuusan hiyo ni sehemu tu, ni kama Dar nikiweka aerial view, 70-80% of the Km sq ni ovyo sana, na hapa uwezi pinga, only like 10-20% of the km sq ya Dar is well developed with modern infrastructure., which is around CBD and its environs, and in upper class suburbs, kwingine balaa. Mombasa nikiamua ku cherry pick pictures the way Ichoboy ana cherry pick za Dar utaona panapendeza., same with Dar., but tukiamua objective presentation, both are not yet there!ππππI thought mombasa pamoto kumbe kumechakaa vibaya
Kaka maendeleo yako, na ni obligation ya serikali kujenga miundo mbinu, mimi I can seperate propaganda from facts, one day try critical thinking before arguing, govts are even not supposed to campaign using what they are supposed to do(be it in Kenya or Tz), ni kama mzazi wako apige kifua eti kakuzaa kisha kakulisha na kukuvisha, hiyo ni kazi yake kwako, it is not a privilege it is an obligation! akishindwa ni makosa sana., what they are supposed kupigia kifua ni kama wametengeneza ama kuongeza uwekezaji, industries and job creation, kupunguza umasikini kwa kiwango cha juu n.k., haya mengine ni kazi yao na inawapasa kufanya.,hamuwez kubali nyinyi hata yesu ashuke sasa hvi ππππππππ hamuoni mazuri kwasababu ya chuki zenu na laana mlizoachiwa maendeleo yakifanyika CCM wabaya hahahahahhaa
Ndio sababu Ethiopia inatakiwa kupeleka malalamiko yake katika baraza la usuluhishi la UN kama haikubaliani na hizo International treaty zinazotambulika na UN badala ya kujiamulia kujenga bwawa na kutumia maji kwa lazima.Wewe uko biased. Kwa hivyo kulingana na wewe dunia itairuhusu Egypt kubomb dam ya nchi nyingine lakini dunia hio hio itaikataza Ethiopia kutia sumu maji hayo? Huoni jinsi maoni yako yanakinzana? Egypt itaruhusiwa kufanyia nchi nyingine maovu ila Ethiopia itakatazwa??
It has happened even more, especially during this covid season, hiyo ni passing clouds, mawingu yanayo pita, what is important we have proper systems in place, county govts are stabilizing, kukitulia tu kidogo we progress very fast., ndio maana world bank wakitoa report mnalia lia eti tunapika GDP na kuna facts to verify why Kenya is above Tz in GDP., na gap itaongezeka, wait tufungue uchumi kikamilifu uone vile manyangΓ‘u wanajituma, kwanza siku hizi vijana wengi mtaani hawataki kuandikwa kazi, wameanza kuona ni kama utumwa., self employment imeanza kuonekana as more fashionable and best. Amini usiamini.sio madaktari tuu πππππ