Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, Inaelekea hujaipata vizor fair ya concept ya region power pools, angalia hii SAIEE webinar series kwenye hapa chini ndio utaelewa, ktk Africa zipo several power pools, sisi tuko ktk power pools mbili (Kama kiunganishi) cha EAC na Southern Africa. In brief kama tuna surplus ya power na kuna demand ktk nchi za mashariki na kaskazini tunauza kama kuna demand ktk nchi za kusini tunauza kama tuna power deficit tunanua kutoka ktk either of the PPs.

NB: By the way, ukiwa mtulivi na kufuatilia hizo webinar series, ipo moja yakwangu nilifanya hivi karibuni but it is among the most viewed, sintakuambia ni ipi nakupa homework uitafute mwenyewe๐Ÿ™‚
 
Wawaombe yapiray mitambo yao ya mahandaki wahitumie kuchonga moja hapo kitonga. Huo mlima nao unachelewesha mizigo na abiria na pia lita punguza ajali sana tu.
Kwenye ilani ya ccm wamesema watafanya escarpment
 
Ntazipita Mkuu
 
Tafadhari ndugu huwa sichati na mtu inbox Wala kujibu chochote,ukiwa na kwere yoyote jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ