ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,309
- 89,716
Wanakojenga bwawa la Nyerere pia wanaharibu mazingira Ila bwawa linajengwa,hizo ni hadithi madini yatachimbwa na ndio target ya she hii among other thingsHio soda ash si hamtaki tichimbe kwa sababu za uharibifu wa mazingira?
Wakati wapo waliozijenga zilikuwa productive maana walizijenga kwa malengo maalum maana walikuwa na miradi yao lukuki maeneo zilimopita kuanzia madini Hadi mashamba,walivyotoka na ujamaa kuja kila kitu kiliyumba Kama sio Kufa kabisa,kwa sasa angalau uchumi wa maeneo unaanza kuwepo kwa hiyo unafuu upo kidogoHizi za Central Corridor Tanzania na RVR kule Kenya, mbona nazo zote zilikufa, au nazo pia zilijengwa kisiasa?
Unalaumu ujamaa, mbona ile ya Kenya kwenda Uganda ndio iliyotangulia kufa?.Wakati wapo waliozijenga zilikuwa productive maana walizijenga kwa malengo maalum maana walikuwa na miradi yao lukuki maeneo zilimopita kuanzia madini Hadi mashamba,walivyotoka na ujamaa kuja kila kitu kiliyumba Kama sio Kufa kabisa,kwa sasa angalau uchumi wa maeneo unaanza kuwepo kwa hiyo unafuu upo kidogo
Hata Bomba la Mafuta kutoka Hoima Uganda pia kama technolojia ingekuwa inaruhusu basi lingepitishwa ziwani na kuibukia Musoma (Mara)-Arusha-Kilimanjaro then Tanga (the shortest route).Geza bana,Kuna tani za kutosha za magadi soda engaruka basin,Kuna utalii wa kuzidi wa adventure kwenye hiyo reli na Kuna mizigo ya Uganda,Arusha nk.Pia Bandari ya Musoma naturally location yake ni nzuri kuliko ya Mwanza na pia kutoka Musoma to portbell ni jirani kuliko kutokea Mwanza usiwe mbishi na tutaijenga upembuzi uliisha ..Central corridor inalenga western Uganda na Eastern DRC wakati hii ya Musoma ni Kampala to Juba South Sudan
huyu Ngugi wa Thiongo (Kikuyu's Mumbi) si naskia Moi's mafias walimlawiti naskia yeye na Mkewe kwa sababu ya kuendekeza Ukabila!Bado wanatetea Ngugi wa Thiong'o kuhutubia huko Catalonia kwa lugha ya Gikuyu, nchi yenyewe imegawanyika mafungu mafungu ya kikabila hii.
Hii chopper haina viwango vya kutumiwa na Rais, Rais hutumia chopper za jeshi tu.Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?
MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!
Ni kweli mkuu waliwanajisi wote wawili [emoji23][emoji23][emoji23]huyu Ngugi wa Thiongo si naskia Moi's mafias walimlawiti naskia yeye na Mkewe kwa sababu ya kuendekeza Ukabila!
sheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPM anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!Hii chopper haina viwango vya kutumiwa na Rais, Rais hutumia chopper za jeshi tu.
lakini kumbuka bado ni raissheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPm anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!
Pamoja na hivyo ila hii chopper bado siamini kama Rais atapanda, itatumiwa na viongozi wengine ila hutomuona Magu akiipanda na sijui kwanini wameenda kukodi Kenya wakati ndio nchi inayoongoza kwa ajali za vyombo vya angasheria za Uchaguzi haziruhusu kutumia vyombo vya dola kwenye kampeni! Hata JPm anapoamuru fedha zipelekewe kwenye sehemu kujenga barabara kama leo Uvinza alipompigia Jafo ni kuvunja sheria za Uchaguzi ile ni rushwa! kama mzee wa ubwabwa kaonywa na Magufuli anapaswa kuonywa pia!
Sheria za uchaguzi haziruhusu ndo maana anatumia Motorcade ya Kijani! Si mapambo yale!lakini kumbuka bado ni rais
Jamaa kaongea kwa uchungu mpaka anatia huruma.👇👇👇👇😀😀😀
Zile ni za serikali mkuu hawawezi kutumia na wakitumia itakuwa kosa kubwa sana.Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.
Hapana hapaswi kuchanganya kipindi hiki, ndio sababu hatumii gari za State house pamoja na kwamba ni rais.lakini kumbuka bado ni rais
Aisee, hii nchi sijui ni laana au nini?oneni maisha ya hawa watu inaskitisha yani nguruwe ana nafuu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] alaf usikie wanakwambia juu ya GDP