joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mimi ninasubiri hilo bomba la gesi analotaka M7 liende Uganda, hilo ndio litakalowamaliza wakenya.Bad loser's syndrome manifests itself
Mimi ninasubiri hilo bomba la gesi analotaka M7 liende Uganda, hilo ndio litakalowamaliza wakenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu EACOP ni balaaa.Mambo yanayowauma wakenya wa jf wiki hii,
-Mamlaka ya anga ya Uganda kuruhusu ndege za Tanzania kutua Uganda
-Dili la ya EACOP
nimecheka sana ,,,,,,mkuu kaamua kuwatungua anga ya pili[emoji3][emoji3]Aisee ichoboy kaamua kuwagonga vitasa huko twitter! [emoji121] 😀 😀 [emoji121]
hatari sanaUjenzi wa hili bomba ukianza,
LNG Lindi nayo uanze,
Bandari zimepanuliwa,
Si muda mrefu tra watahit 2T per month.
August imepita sai ni sept 13 mbna hawadai tena[emoji23][emoji23]wanadai wa july not august mzee usijitie uchizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Geza unachoma😂😂😂😂Aisee ichoboy kaamua kuwagonga vitasa huko twitter! ☝ 😀 😀 ☝
Wakuu, yaani ni full shangwe. Huu ni zaidi ya ushindi wa kivita. Hakika tuna kila Sababu ya Kumshukuru Mungu na Rais wetu kipenzi JPM. Mungu mbariki na Kumlinda Mseveni pia.[emoji1241][emoji1241][emoji1254][emoji1254]Mkuu EACOP ni balaaa.
Tumebaki na kazi ya kuuvuruga ule mtungi wa chang'aa unaochafua mazingira 🚈
Ujenzi wa hili bomba ukianza,
LNG Lindi nayo uanze,
Bandari zimepanuliwa,
Si muda mrefu tra watahit 2T per month.
Kumbuka kuna mradi wa LNG wa $30 bln huko Lindi unaongoja revenue agreements pia!noma, hiv kenya kuna miradi gan cost yake ni zaid ya USD 3 billions?
Tanzania
- EACOP = zaid ya USD 3 billions
- JNHPP = zaid ya USD 3 billions
- SGR = zaid ya USD 3 billions