which club is there?? mm najua club mbili kubwa za nairobi amabzo ni ushuzi mtupu haziingii hata ukucha kwa club za dar, najua F2 na canivoreJust epic,westie,where big clubs in Nairobi are,,ukitaka raha Nairobi tembea westie
View attachment 1557732
Heheheheheeee mkuu Ngokongosha basi bhn tuache km ilivyo [emoji3][emoji3]Mkuu hizo rank ni kutokana na mafanikio katika mashindano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho. Yanga hampo kwenye mashindano yoyote so uwezekano wa kuporomoka ni mkubwa, kupanda hamuwezi labda mbakie hapo hapo tu.
Mtani usinichanie shati tu😂😂Heheheheheeee mkuu Ngokongosha basi bhn tuache km ilivyo [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Mtani usinichanie shati tu[emoji23][emoji23]
We should think of blocking them!
😆😆😆 Yaani Yanga ikiwa na matokeo mabaya,mimi huwa naugua aise!Heheheheheeee mie tena mkuu huwa nikiona mtu anashabikia Yanga hata km namdai akija na jezi ya mwananchi tu atanipiga kiswahili atakavyo cz tayari namuona km ndugu cjui nipoje mm[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani Mungu huwa anatuepusha na mengi,mojawapo ni hili,yaani ingekuwa tunabaguana kwa ukabila Kama Hawa wajinga.Hapa angefeli kweli kweli, hakuwa anawajua vzr hawa enzi hizo.
safi sana hii kitu ya DANGA inabidi uwe unawatupia wakenya kila rpisode ili walifresh mind zao......
Burudani kidogo only in tanzania
Mlupo wa Trump [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]bado yule hawara wa trump[emoji23][emoji23][emoji23]