Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


mwaka huu yanga washindwe wao wenyewe tu, majamaa wanawekewa mazingira mazuri sana [emoji119]
 
Hampo mashindano ya kimataifa so huwezi kupindua meza
 
Ni pale mtu analafudhi deep ya vernacular anapoamua kuwa arrogant na kutumia nchi jirani kujitetea! it gives the reflection of the whole GoK towards her nemesis i.e. Tanzania! kufungia airlines kumewachoma kunako now lets shut their banks!
Nafikiri ni mda muafaka huu.
 
Hapo kwenye Mwakani Umezingua Simba ipo Mbali sana Kwa Yanga
 
Hapo kwenye Mwakani Umezingua Simba ipo Mbali sana Kwa Yanga
Usiamini ktk hilo ndugu, tm zetu hz cvyo km mnavyozifikiria, unasema ipo mbali sn kwa Yanga unamaanisha nini kwamba tayari ina stadium?.

Au imechukua kombe la Afrika? Au unamaanisha mbali kvp mana cjakuelewa kabisa mkuu na napata tabu kuelewa hii mentality mana mashabiki wengi wameikalili hii, wamechanganywa na treble ya ligi kuu wakasahau kwamba hata Yanga imefanya hivyo juzi tu hapa, hz tm zetu ndivyo zilivyo mwaka huu huyu baadaye huyu pia kutegemea na uongozi uliopo pale tff but usijiongopee kabisa kwamba simba imeizd Yanga yn usiote kabisa mkuu, haipo hyo na haitakuja kutokea hz tm zizidiane kiivyo.

Hii ilitokea hata kipindi kile Yanga ina treble tulikuwa tunasema hivyo hivyo kwamba Yanga imeiacha mbali sn Simba but ukweli haukuwa hivyo miaka michache iliyofuata ndio hv tunavyoona ss, so msijiongopee kabisa ndg na km huamini subiri mwaka huu muone, japo kuna hujuma zitakazoendelea kutokana na uongozi pale tff but mpira utaonekana uwanjani tuombe uhai.
 
Ethiopian wamepost hii dakika chache zilizopita wakaifuta but nadhani kuna kitu wanarekebisha,

"Ethiopian is set to start its freighter service to Mwanza (Tanzania) as of September 9 2020"
Ethiopian Airlines wameongeza Ndege nyingi tu TZ baada ya Kunyaland Kujiny.......

Mwanza kuna minofu mingi sana na nyama za mifugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…