Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhalisia [emoji116][emoji116]

1. Simba SC-Tz
2. Young Africans-Tz
3. Gor Mahia-Ke
4. KCCA-UG
5. Rayon Sports-Rw
6. Azam FC- Tz

Mwakani panapo majaliwa itakuwa hv[emoji116][emoji116]

1. Young Africans-Tz
2. Simba SC-Tz
3. Azam FC-Tz
4. Gor Mahia-Ke
5. KCCA-UG
6. Rayon Sports-Rw
 
Iyo pesa inaweza fanya maajabu mengi tu
Saanaa kaka yn kiukweli maisha bado hayajakaa sawa kivile kwa mTz lkn kwa yanayofanyika kwa ss mwanga upo huko mbeleni cz ili maisha yawe vzr ni lazima serikali iwe na uwezo wa kumhudumia mwananchi na co kuwategemea private sectors pekee cz wao wanalenga zaidi profit na hii ndiyo raha ya mixed economy kwa hz nchi zetu za developing.
 
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…