Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hai
umekuja kwa pupa sana. kesi ilishaamuliwa na ni kwamba Nairobi iko juu. Darislum wamesema tuwape mji wa Kampala au Lusaka.
Haitokuja tokea na ndani yahi miaka ya Magufuri sahau mkuu itakula kwako tena sanaaaaaaaaa
 
Tunataka kuja kucheza huu mchezo Nairobi. Niwapi mnapendelea kuucheza kwa Nairob i
 
Baada yamaangaiko yangu kwenye nchiyangu pendwa Tanzania nipo Dar es salaam. Wale wakibera mnitafute kwa mdawenu niwapunguzie tatizo la njaa Kenya.
 
Dar es salaam Next door club. Nairobi hakuna club yenye swimming pool. Nijasho mwanzo mwisho.
 
KIBERA slum
one of the biggest in Africa


MATHARE hapavumi Ila pako poa
Hata buguruni haipo hivi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
What you guys are trying to do right now is catch up. Kenya was industrialized in the 70's and 80's. It's new to you that is why you are showing off thinking its a big deal. Come yo Nairobi there is an area called Industrial area and Ruaraka. You have no idea how many go downs/companies are there. Let alone mombasa road, athi river, all the way to mlolongo. Don't even start to talk of thika which is an industrial town. Nakuru je? Dude why do you think Kenya has a higher GDP in the first place anyway.
 
Mbona Kenyatta anadai anampango wakufufua viwanda vilivyo kufa Kenya? Also we were industrialised since 1960s. Muulize Kenyatta kama akununua kiwanda cha maziwa Arusha baadae alingoa mitambo ya kiwanda nakuipeleka Kenya kwenye kiwanda chake cha Brookside. Muulize alikinunua mwaka gani? Serikali ya magufuri imewaandikia kampuni ya Brookside iludishe hiyo mitambo .. Nakwa taarifa yako toka ameingia Magufuri mkoa au county ya Pwani pekee wamewekeza viwanda 205 nabado wawekezaji wana miminika. Ukitaka na weza kukupatia list yote ya viwanda vya Pwani pekeyake bila mikoa mingine vya hi awamu ya Magufuri
 
Mbona Kenyatta anadai anampango wakufufua viwanda vilivyo kufa Kenya? Also we were industrialised since 1960s. Muulize Kenyatta kama akununua kiwanda cha maziwa Arusha baadae alingoa mitambo ya kiwanda nakuipeleka Kenya kwenye kiwanda chake cha Brookside. Muulize alikinunua mwaka gani? Serikali ya magufuri imewaandikia kampuni ya Brookside iludishe hiyo mitambo .. Nakwa taarifa yako toka ameingia Magufuri mkoa au county ya Pwani pekee wamewekezaviwanda 205 nabado wawekezaji wana miminika. Ukitaka na weza kukupatia list yote ya viwanda vya Pwani pekeyake bila mikoa mingine vya hi awamu ya Magufuri
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…