Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee kumbe ligi yetu inapiga hatua sana. In recent days nimeona mpira wetu unatrend sana Africa. Cheki wapopo wanashangaa vyuti vya Yanga, wakiwish one day clubs zao zifike hapo. Sisi tunachukulia poa aisee.


Mkuu now ni half time vijana wng wa jangwani wanatufurahisha wananchi, uwanja umependeza njano tupu kudadadeki no red hapa cz no danger here (corona) Yanga raha sn wallahi Tz km ulaya aisee watu wengi mno ustaarabu kwa kwenda mbele [emoji3][emoji3][emoji3]
 
I came to realize that this late
Dah yaani Ukisikia akili visoda ni wakenya, wana IQ ndogo kichizi, mbaya ni kwamba hawajashtuka
Mm ningalikuwa na uwezo ningaliihamisha hii nchi tusipate kuwa karibu nayo yn ni afadhali tuwe karibu na wahabeshi kuliko hawa watu ni wabinafsi mnoo yn ktk jambo ambalo naona ni mkosi kwa nchi yetu basi kuwa karibu na kenya ni heri kuwa karibu na Afghanistan kuliko kuwa karibu na hawa ******* wanaojiita Wakenya.
 
A voice from the Patriot man [emoji122][emoji122][emoji122]
 
heheheh unajitia uchizi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1553443
KQ kwenye game kitambo na walidominate soko walifanikiwa kulipia full ndege 3 out of 20. Kazi kweli kweli . Halafu uhuru kwa nini angekuja mwenye wakifanya meeting na mkuu mambo yanaisha maana watu wengi hapo wanakosa ajira kwa KQ kutokuja tz . Sipati picha wafanyakazi na masupplier wa KQ wanavyo hussle
 
tena ndege hzo tatu ni chakavu hazina mfano😀😁😁 miaka 50 wapo kwenye soko
 

Hii ni bajeti ya 2020/2021
Kulingana na vipengele viwili vya kwanza hapo juu.
- kuanza ujenzi mak - tbr - isaka - mza
- kutafuta mkandarasi mak - tbr - isaka - mza.

Maoni yangu.
Kama ukusanyaji wa mapato haujaathirika naona kama makutupora mpaka isaka tenda ikitangazwa mwaka huu wa fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…