Yeah sa hizi kina mgawanyo wa funds kwa project hizi kubwa Jnhpp .na Ku expand Air Tanzania fleet ...tungekuwa hatupigi kwa mpigo..ungeskia Nata mtwara sgr I meanza......I wish waifanye tenda Moja makutupora - isaka we will see how it will be...but ni 435km bila loop rails ukiweka zinaweza fika 200km za loops ...najua Dar-Mwanza line yote itakuwa undercosturtion before 2025..Nafikiri hata tbr to kigoma inaweza kuwa ni phase 1. Tukiendelea hivi ujenzi wake Unaweza anza 2023. Bwawa la umeme likiisha kama ilivyopangwa June 2022, nahisi serikali itaongeza kasi ya ujenzi wa reli.
Nilishaletaga ya 2018 kakaThis is only Trunk Roads
Excluded Region and District Roads. This report per 2016
View attachment 1550520
Seems,Kilosa-makutopora,itaisha kwa pamoja na Dar-moro,kasi yake si ya kitoto!
Hao jirani hawawezi kufurahi maana walikua mstari wa mbele kumpiga vita Dr Adesina ili asichaguliwe tena kwa term ya pili.
JPM always huwa yuko on the right side backing the right horse at the right time.
Jiwe ni next level.
Hii kitu nimeona hata mimi, na kuna mtu ssc analaumu yapi, Nimempa reason hii hii.ni mim tu nimepata wazo SGR Dar-Moro wanaichelewesha makusudi ili SGR Moro-Makutupora iishe pamoja na Dar-Moro? mana procurement ya locomotive nayo imechelewa
wameamua kutuiga ,,,,safari hii watafuata sana nyayo kutoka Tz[emoji3][emoji3]sasa hvi wanafufua reli ya zamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ugua pole pole budaLeta ushaidi apa..acha porojo