Anha nimesahau mkuu ..lilie linakupa 800$million wakati umekaa tu hio hela ni sawa inatosha kujenga Hospital kama mlongazila 10 KUMI kila MwakaMnalichukuliaga Bomba la mafuta ghafi la Uganda poaeeh?
Silioni kwenye list!
Mkuu vipi hujaweka hii taarifa?Angalia vijiba vya roho vikimwaga sumu kwa kukereka!
Upuuzi mtupu.
Shukran mkuu, hii Idea ningependa tm zote zenye uwezo huo ziitumie japo ningependa zaidi ianze kutumika Yanga [emoji3][emoji3][emoji3]Mwangu idea safi sana....nimeikubaki billion 30 ni kubwa inakupa uwanja hata wa 40,000 seats which ni sawa na stamford kasoro utakosa facilities muhimu za ndani which uta upgrade kidogo...idea nyingne nzuri ni kama ile iliyotumika kujenga Kigamboni bridge....Unawaftwata Pspf au nssf wanajenga uwanja ..wanaumiliki wao mpka muda hela yao ikirudi then uwanja wao..in return yanga wana advertise nssf na waanahakikisha wanachama wao wako nssf au pspf ..Bil 30-40 pesa ndogo na Yanga wana mashabiki wakutosha kujaza uwanja mechi za home
wana shida mpaka matakoni mwao ππHao madaktari sura zao zaonyesha dhahiri kwamba wako na shida mob
source jamii forum ππππ
wanaumia sana kuona tanzania kupanda ghafla πππππUpuuzi mtupu.
Mbona uende Google kutafuta picha za kitambo!? Huna macho!? Mimi nimekupa picha halisi za Kimilili mwaka huuUshuzi mwingine huo hapo unaitwa kimilili, yn wanaposema Tz has the most urbanized regions across EAC tuwe tunaelewana, hawa wengine maendeleo yameji concentrate kwa mji mmoja tu kwengine ni shuzi la tembo.
Kimilili hii hapa ambayo wanjala anaicfia ina better roads [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1545293View attachment 1545294View attachment 1545295View attachment 1545296
Haha kakamega inakupea pressure hadi umeona ukimbie googleUshuzi mwingine huo hapo unaitwa kimilili, yn wanaposema Tz has the most urbanized regions across EAC tuwe tunaelewana, hawa wengine maendeleo yameji concentrate kwa mji mmoja tu kwengine ni shuzi la tembo.
Kimilili hii hapa ambayo wanjala anaicfia ina better roads [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1545293View attachment 1545294View attachment 1545295View attachment 1545296
asante kwa renderπππππππ
Wewe uko na brain issues. Sasa hii ni wapi!? Hii ni london!?Wanjala unamuongopea nani wewee, kenya nzima ni uharo tu picha unazoweka hapa tunazijua ulichofanya ni kupaka shedo tu na kuchukua baadhi ya maeneo ambayo angalau kdg yana muonekano mzuri but mbele kdg tu ni uharo na bati after bati km kawaida.
Kakamega hiyo hapo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1545279View attachment 1545280View attachment 1545281
london haiwez kua na uchafu wanjalaπππWewe uko na brain issues. Sasa hii ni wapi!? Hii ni london!?
View attachment 1545528View attachment 1545530View attachment 1545532View attachment 1545533View attachment 1545534View attachment 1545535View attachment 1545536View attachment 1545537