Haha come again? Usilazimishe waKenya kufuatilia TZ. HAHAHAKati ya mtanzania nani mkenya anaongoza kufuatilia mambo ya mwenzie? Nimewahi sikia Samata ni mkenya, Magufuri, Mt Kilimanjaro iko kenya, Tanzanite, Diamond Platnumz, Olduvai gorge... na mengine kibao, nitajie japo kitu kimoja mbongo alifuatilia kuhusu kenya na hata akaclaim ni chake [emoji23][emoji23][emoji23]
GDP yetu karibu mara mbili yenu. GDP ya NAIROBI inakaribia GDP yote ya MUUNGANO wenu 😹😹. Mbona tuu hii iko in the public domain inajulikana?Volume
Volume ipo stardard mkuu,wale Northerners wanasema Wana GDP kubwa vp tena? Wanatamba humu mchana kumbe usiku wanawasha vibatari na mishumaa,shubamit!
Ooh?😹Jirani wana safari ndefu sana kulifanya Nairobi kuwa jiji kama DSM
hatuwalazimishi ni vile mnajikuta hamna namna.
mbona hu zoom ukatuonesha hzo slum ili tuone na tuamini ww unaakili kuliko mzungu😂😂😂
sonko na joho[emoji38][emoji38], nikutajie na mmeo??Hehee!!nitajie magavana wetu kwanza niskie raha
Kwa ninachokiona Tz itakuwa inatoa mikopo na Wallah naapa naiona Kenya km mteja wetu wa kwanza kwenye mambo ya mikopo....Magufuli aliongea mara kadhaa kuwa sisi ni Matajiri mara paap ..wakatutangaza wenyewe.kwa nini ishindikane kuwa km Ulaya??????
Twende kw siasa za mt kenya, we unaonaje 2022sonko na joho[emoji38][emoji38], nikutajie na mmeo??
mbona hu zoom ukatuonesha hzo slum ili tuone na tuamini ww unaakili kuliko mzungu😂😂😂
Kwahyo nawasingizia au siyo [emoji3][emoji3][emoji3]Opera news[emoji23][emoji3][emoji3]