Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1b0967758ef12bd92e0905f9a6ebbfc1.jpg

Mbona makaazi yenu ya kawaida kama hizi huwa hamuonyeshi?

how can such a province of poverty even be improved. .....
 
hizo ndio personal houses si huringiwa......pwahahaha. Enyewe hii ni LDC direct....
 
unajua nini wakenya wanashindwa kuelewa jambo moja kuhusu dar es salaam...

70%pc ya jiji zima makazi yake hayajapimwa kama hayo unayoona kwenye picha na hata hizo ambazo uki_google zinazojionyesha....

ila licha ya kua na hizo unplanned settlement nyumba ambazo unaziona hapo ni tofauti na nyumba ambazo zipo kwenye slums za Kenya na sehem nyingine duniani....

in fact lazima tulete "conditions for a place to be slum" ukishazijua ndo utajua kweli dar es salaam hatuna slums bali ni unplanned settlement
 
yauma sana apo??? 😀 😀 😀
sisi hatufichi, tuko nayo slum inaitwa Kibera. sasa mbona nyinyi mwaona haya?
nijibu sasa unaijua jangwani ilivo😀😀😀😀😀😀 basi kwa taarifa tu hapo sio jangwani
 
kibera propaganda statistics for the greedy ngo's has been dismissed by international organizations. it is 170 k on a 2 km sq.

hii ya Dar ni kama 1000 km sq machangudoa na nyumba duni kwelikweli
 
yauma sana apo??? 😀 😀 😀
sisi hatufichi, tuko nayo slum inaitwa Kibera. sasa mbona nyinyi mwaona haya?

With those Dar settlements there is no way a country can escape being categorized to the bare minimum. How can a government allow a whole province size of a capital city develop such an ugly grotesque face....!!!.
 
kibera propaganda statistics for the greedy ngo's has been dismissed by international organizations. it is 170 k on a 2 km sq.

hii ya Dar ni kama 1000 km sq machangudoa na nyumba duni kwelikweli
mbona unatapika sana 😀😀😀😀😀😀😀 usije kuugua bure kisa dar
 
3. Kibera, Nairobi, Kenya – 2.5 Million
With a population of approximately 2.5 million dwellers, the slum of Kibera, located 7km southwest of Nairobi, consists of 200 settlements and occupies just 6% of Niarobi’s total land. Completely void of any cartographical context, its many unpaved roads see thousands of Kiberians walk many miles to and from work, passing metal homes and stores made from scrap barrels fashioned by hand. Only 20% of Kibera has the luxury of electricity. Water, until only recently, was collected from dam sources ripe with diseases such as typhoid and cholera. Any settler of the Kiberian slum must do without any government-owned hospitals or clinics.

Kibera ni 6% ya Nairobi. how can such an area with 200settlements have 2.5million residents? alafu naona apo kuna Mexico, USA, Brazil, SA. do you want to tell me you are in any way better than those countries?????
 
na hizo umemuachia nani sasa
 
Back
Top Bottom