Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni mara chache sana sisi kuhusisha miji mingine ya Tz kwenye hii battle lakini kwa wenzetu kila wakiishiwa pumzi na Nairobi yao wanakimbilia Mombasa. So this battle is Dar Vs Nairobi & Mombasa combined.
 
Makusanyo yote yanaenda kwenye matumbo,mwishwa siku,left right ni madeni,hata barabara ya 1km hamuwezi kujenga kwa pesa yenu,mpaka mkope.alafu unajisifia hapa!
Sio kweli hao ni watu wa kujisifu, mwambie awake link ya serikali ya Kenya yenye kuonyesha viwango vya mishahara ya watumishi wa Kenya, kila siku madaktari na wauguzi Kenya wanagoma kuomba nyongeza za mishahara kutokana na hali ngumu ya maisha, wangekuwa wanalipwa vizuri wasingekuwa kila mara wanagona
 
alaf bado wanashindana na tanzania [emoji23][emoji116][emoji1241]

Wakenya 80% wanajua ukweli na wameshajisalimisha kwa Tanzania, Kama ni Vita basi ngome zote za jeshi la Kenya zimeshasambaratishwa, waliobaki ni wale wanajeshi mmoja mmoja wenye kupiga risasi na kukimbia, ndio hawa ambao tupo nao hapa JF.
 

budaa, hii video ina miezi 9 mpaka saaa toka irekodiwe.
[emoji38][emoji38][emoji38]. halafu 2006 youtube iliishakuwa popular nairobi na smartphone.
Ldar cbd video iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sindano hyo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…