Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda upper hill ukikosa machinga njoo nikuonyezh wanapo patikan tena wanalal hapohap....
Unamanisha hivi....ww huwezi ongea kitu kusu Dar....pimbi km wengine tu...pita [emoji117]View attachment 1531056View attachment 1531058View attachment 1531059View attachment 1531061
 
Ndo maana sitakagi kuwaquote, uwezo wenu mdogo sana huwezi kuelewa
 
Ni wazi kabisa kwamba mnajua potential ya Tz ni CCM na uongozi wake madhubuti chini ya JPM,hapa unajaribu kuturubuni ili tisiipigie kura keshokutwa.......Magu ni 5tena...na barua yenu ya msiba ni lazima ifike Kunyaland.
 
Cha kushangaza,hili sakata la ndege,niupande mmoja tu unabweka,upande huu wa bongo ni kimyaaa!!!
Kenya won’t compromise health to resume flights to Dar, says
Hili la kuminya taarifa za COVID-19 hapa Tz sijawahi kuona faida yake.tunajua katika 100 watakaopata 81 hawataonyesha dalili zozote ,14 wataugua na kupona na 6 ndio wanaweza kupoteza maisha au kupata severe attack lakini kuminya info ili mambo yaonekane yameisha ni upuuzi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…